Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 7,696
- 15,984
IPTL tena,,,!?
Na Richmond je ?!!IPTL tena,,,!?
Mbona Bandari (TPA) haijatajwa ili tujue jinsi inavyofanya.Maana tumeambiwa imekuwa bora sana.Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amebainisha kuwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linadaiwa jumla ya shilingi bilioni 238 na kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL). Kati ya kiasi hicho, bilioni 111 ni deni la msingi, huku bilioni 127 zikiwa ni riba.
Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
Ripoti ya CAG inaendelea kufichua mzigo wa madeni unaolikabili shirika hilo la umma.
Mfuate, alisaidia nini si aliiacha hiyo IPTL?IPTL bado inadai japo ilikuwa inadaiwa.
RIP Magufuli.
Mwalugesha hakuna wapumbavu km ww kilamba mavi wa Mama..Mfuate, alisaidia nini si aliiacha hiyo IPTL?
Nimeikumbuka Sanga mwalugesha 😄🙏👍Mwalugesha hakuna wapumbavu km ww kilamba mavi wa Mama..
Na linakuja lingine la Ethopia mpaka tunyooke tuwe flatCCM waondoke madarakani,,walishindwanini kulipa deni mapema na kuachana na wahusika wa iptl.. au kwa kuwa kikwete ni mnufaiks wa IPTK
Ningemfuata ila nahofia nitamuacha bi mkubwa wako mpweke.Mfuate, alisaidia nini si aliiacha hiyo IPTL?
Na huyu Chizi anajiita Sangamwalugesha ati..N
Nimeikumbuka Sanga mwalugesha
Riba kubwa kuliko DeniDeni la msingi linazidi riba.
Bado kuna watu watakwambia CCM haina mbadala.
Ukiona hivyo imefichwa intentionaly, maneno pekee hayatoshi kuitwa boraMbona Bandari (TPA) haijatajwa ili tujue jinsi inavyofanya.Maana tumeambiwa imekuwa bora sana.
Hutoona akijibu , watatumwa chawa hapaView attachment 3285635
Kaka yangu David Kafulila alipambana sana kuokoa hizi fedha za walala hoi sijui kama bado tuna kumbu kumbu lakini kwanini leo ameishia njiani?
David Kafulila alitakiwa kuona hizi fedha zinaingia kwenye akaunti na kusoma salio ndio atulie sasa Leo hadi Jaji Fredrick Werema hatunaye,
Pamoja na hayo yote kwenye Taifa hili tumewahi kuwa na vijana majasiri sana miongoni mwao ni akina David Kafulila japo sina hakika kama ujasiri huo bado anao au ni nguvu tu ya kukemea ndio amekosa.
Ni wajibu wa CAG Kichere kuhakika hii pesa inarudi na kwa wanaohusika na kutangaza mashujaa basi David Kafulila na yeye atangazwe kama kijana shujaa wa Taifa hili kwani kuokoa TZS389bilioni sio jambo rahisi,
Kafulila nakuombea Maisha marefu Mungu akupe haja ya moyo wako.