CAG: TANESCO wanadaiwa Tsh. Bilioni 238 na IPTL – Deni la Tsh. Bilioni 111, Tsh. Riba Bilioni 127

Anayefanya udalali wa rasilimali za nchi ndo ainyoshe nchi........!

Mwambie aongelee hiyo tegeta escrow kama ana ujasiri huo tena zaidi ya kutoa makala za kila siku za kusifu na kuabudu.
Umeshawahi kusikia huu msemo

"Jasiri haachi asili" ila CCM haipendi watu wenye akili na uzalendo aina ya Magufuli wanaohopa
 
Umeshawahi kusikia huu msemo

"Jasiri haachi asili"
Kama ukipata muda wa kufanya naye kazi unayemsema ndo utajua uhalisia wake,

Kuna watu ni wazuri kupiga kelele lakini wakikabidhiwa hizo nafasi unahisi mmeletewa copy yake na si yeye.
 
IPTL si ndiyo kulikuwa na Singh na Rugemalila(VIP Engineering)? Hao mpunga wao si walishavuta Escrow account?
 
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amebainisha kuwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linadaiwa jumla ya shilingi bilioni 238 na kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL). Kati ya kiasi hicho, bilioni 111 ni deni la msingi, huku bilioni 127 zikiwa ni riba.

Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Ripoti ya CAG inaendelea kufichua mzigo wa madeni unaolikabili shirika hilo la umma.

Kuna siku tutapata Rais mzalendo kama JPM tena Hawa mafisadi wa awamu hii wataozea segerea tena
 
Labda kwenye habibu rejea.
TANESCO wana audited financial statement hilo deni halipo kwenye vitabu vyao na CAG wamemueleza hilo wao aliwahusu mahakama imeshaamua.

Sasa CAG hilo deni kaliona wakati anakagua nyaraka gani za shirika. Uwezi kusema taasisi fulani inadaiwa kiasi fulani iwapo deni lenyewe halipo ata kwenye vitabu vyao.

Huyo Kichere ni muhini tu, na hawa ndio sampuli ya watu wanaoenda ifungulia kesi za hovyo nchi huko nje.

Ni deni analolazimisha liwe la serikali wakati mahakama imeshaamua na Rugemalila amerudia mara kadhaa anaedhani ana madai na TANESCO amfuate yeye.

Uhuni hakuna lingine lolote
 
Audited financial statement from where wakati mna auditiwa na huyo huyo kichere? Em tueleweshe vizuri mkuu.. Unataka kusema alipo wa audit hakuona Hilo deni then kwenye press akawachomekea? Au hiyo audited financial statement mli auditiwa na private companies? Ama hujui maana ya audited financial statement?
 
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amebainisha kuwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linadaiwa jumla ya shilingi bilioni 238 na kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL). Kati ya kiasi hicho, bilioni 111 ni deni la msingi, huku bilioni 127 zikiwa ni riba.

Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Ripoti ya CAG inaendelea kufichua mzigo wa madeni unaolikabili shirika hilo la umma.

Nzilankende aliwahi kusema na kuwaambia TANESCO kuwa mteja akiwa anadaiwa ni maneno mawili tu "KA-TA "
 
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amebainisha kuwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linadaiwa jumla ya shilingi bilioni 238 na kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL). Kati ya kiasi hicho, bilioni 111 ni deni la msingi, huku bilioni 127 zikiwa ni riba.

Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Ripoti ya CAG inaendelea kufichua mzigo wa madeni unaolikabili shirika hilo la umma.

Attachments

  • VID-20250329-WA0041.mp4
    4.7 MB
Magufuli nakumbuka alimalizana na IPTL kwa kutotaka ku renew mlataba ule. Kumbe halikwisha?
 
Magufuli nakumbuka alimalizana na IPTL kwa kutotaka ku renew mkataba ule. Kumbe halikwisha?
 
Back
Top Bottom