Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
CCM waondoke madarakani,,walishindwanini kulipa deni mapema na kuachana na wahusika wa iptl.. au kwa kuwa kikwete ni mnufaiks wa IPTK
CCM ni ile ile.Nilidhani hayati Magu alimalizana na Kalasinga juu ya IPTL ,sasa kama wamerudishwa tena kutafuta ESCROW nyingine tunakumbuka aliyesema sio fedha za serikali na sioni wa kumkemea na kumdhibiti.
Hiyo ni biashara ya kikwete na Rostam azizi...bila ya damu hii code ya ufisadi haiwezi kuvunjwaCCM waondoke madarakani,,walishindwanini kulipa deni mapema na kuachana na wahusika wa iptl.. au kwa kuwa kikwete ni mnufaiks wa IPTK
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amebainisha kuwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linadaiwa jumla ya shilingi bilioni 238 na kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL). Kati ya kiasi hicho, bilioni 111 ni deni la msingi, huku bilioni 127 zikiwa ni riba.
Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
Ripoti ya CAG inaendelea kufichua mzigo wa madeni unaolikabili shirika hilo la umma.
Nyuma ya singasinga wapo raia feki na waislamu wasio wazalendo ndiyo wenye hiyo miradi ...tatizo jpm akuwa real dictator hao watu bila ya kuuliwa nchi itazama ndiyo hao hao wameanzisha PPPNilidhani hayati Magu alimalizana na Kalasinga juu ya IPTL ,sasa kama wamerudishwa tena kutafuta ESCROW nyingine tunakumbuka aliyesema sio fedha za serikali na sioni wa kumkemea na kumdhibiti.
Mama kasema hayo ni madeni ya nyuma, hadaiwi hata moja.Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amebainisha kuwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linadaiwa jumla ya shilingi bilioni 238 na kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL). Kati ya kiasi hicho, bilioni 111 ni deni la msingi, huku bilioni 127 zikiwa ni riba.
Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
Ripoti ya CAG inaendelea kufichua mzigo wa madeni unaolikabili shirika hilo la umma.
JK atakufa lini tupate amani!Hiyo ni biashara ya kikwete na Rostam azizi...bila ya damu hii code ya usisadi haiwezi kuvunjwa
Kuna siku aibus itaanguka ,atakuwepo yule mama,Rosta na JKIla wahuni wanatuibia aisee kwenye hii nchi! Yaani kila kukicha ni madeni tu. Halafu madeni yote ni ya kifisadi! Na serikali inayalipa faster!! CCM ni ya kulaaniwa!