PiedPiper77
Senior Member
- Jan 8, 2025
- 189
- 231
Umeshawahi kusikia huu msemoAnayefanya udalali wa rasilimali za nchi ndo ainyoshe nchi........!
Mwambie aongelee hiyo tegeta escrow kama ana ujasiri huo tena zaidi ya kutoa makala za kila siku za kusifu na kuabudu.
Kama ukipata muda wa kufanya naye kazi unayemsema ndo utajua uhalisia wake,Umeshawahi kusikia huu msemo
"Jasiri haachi asili"
Labda kwenye habibu rejea.Ajabu ni kwamba CAG hilo deni kalionea wapi, iwapo halipo kwenye orodha ya madeni ya TANESCO; wala ya serikali.
Zaidi ya kupachika habari zake tu
Wamiliki wa Vyombo vyenyewe wote waunga juhudi.Huwezi kukuta wachambuzi wanajadili hili, Ila zingekuwa ishu za kuahirisha derby kila chombo cha habari kingetokwa povu
Kuna siku tutapata Rais mzalendo kama JPM tena Hawa mafisadi wa awamu hii wataozea segerea tenaMdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amebainisha kuwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linadaiwa jumla ya shilingi bilioni 238 na kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL). Kati ya kiasi hicho, bilioni 111 ni deni la msingi, huku bilioni 127 zikiwa ni riba.
Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
Ripoti ya CAG inaendelea kufichua mzigo wa madeni unaolikabili shirika hilo la umma.
TANESCO wana audited financial statement hilo deni halipo kwenye vitabu vyao na CAG wamemueleza hilo wao aliwahusu mahakama imeshaamua.Labda kwenye habibu rejea.
Audited financial statement from where wakati mna auditiwa na huyo huyo kichere? Em tueleweshe vizuri mkuu.. Unataka kusema alipo wa audit hakuona Hilo deni then kwenye press akawachomekea? Au hiyo audited financial statement mli auditiwa na private companies? Ama hujui maana ya audited financial statement?TANESCO wana audited financial statement hilo deni halipo kwenye vitabu vyao na CAG wamemueleza hilo wao aliwahusu mahakama imeshaamua.
Sasa CAG hilo deni kaliona wakati anakagua nyaraka gani za shirika. Uwezi kusema taasisi fulani inadaiwa kiasi fulani iwapo deni lenyewe halipo ata kwenye vitabu vyao.
Huyo Kichere ni muhini tu, na hawa ndio sampuli ya watu wanaoenda ifungulia kesi za hovyo nchi huko nje.
Ni deni analolazimisha liwe la serikali wakati mahakama imeshaamua na Rugemalila amerudia mara kadhaa anaedhani ana madai na TANESCO amfuate yeye.
Uhuni hakuna lingine lolote
Tentacles at work. Kila wakifa, wanafufuka upya na madai mapya. Wizi mtupu!ITPL, ESCROW, RICHMOND hawa jamaa kumbe bado hawajafariki tu.
Nzilankende aliwahi kusema na kuwaambia TANESCO kuwa mteja akiwa anadaiwa ni maneno mawili tu "KA-TA "Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amebainisha kuwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linadaiwa jumla ya shilingi bilioni 238 na kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL). Kati ya kiasi hicho, bilioni 111 ni deni la msingi, huku bilioni 127 zikiwa ni riba.
Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
Ripoti ya CAG inaendelea kufichua mzigo wa madeni unaolikabili shirika hilo la umma.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amebainisha kuwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linadaiwa jumla ya shilingi bilioni 238 na kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL). Kati ya kiasi hicho, bilioni 111 ni deni la msingi, huku bilioni 127 zikiwa ni riba.
Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
Ripoti ya CAG inaendelea kufichua mzigo wa madeni unaolikabili shirika hilo la umma.