CAG: Uwanja wa Ndege Chato ni mradi usio na faida

CAG: Uwanja wa Ndege Chato ni mradi usio na faida

Hata mobutu seseseko kuku wa zebanga alijenga uwanja MKUBWA wa ndege kijijini kwao lakini baada ya kifo chake kiwanja hicho kimekuwa uwanja wa kuchungia mbuzi.....
Afrika siasa Ni ngumu kuliko fizikia..
Mkuu huo wote ni udhaifu wa katiba wa kumpatia madaraka makuubwa kiongozi mkuu.
 
Huyo mzee sidhani kama yupo sawa.

Atakua na maratizo mahali.

Tena makubwa tu.
 
Kulikuwa na uharaka gani wa kujenga uwanja Chato wa runway ya kimataifa bila idhini ya bunge?? Hivyo viwanja vingine viko kwenye mpango kazi wa TAA

Mkuu Mpinzire hebu shirikisha ubongo wako japo kwa dakika 5
Hawezi kukuelewa maana yeye ni kati ya wanaopigania legacy ya jiwe.
 
Pamoja na yote, ila Mwenyezi Mungu anatuambia tusimseme vibaya Marehemu. Punguza jazba za kijanga, we all belong to Allah na kwake tutarejea.
Hajasema kuwa hawezi kufa
 
Hivi uwanja wa ndege wa Chato unatofauti gani na Uwanja wa Ndege wa Musoma unaojengwa? Au wa Mtwara? Hizo faida anazotaka CAG ni zipi? Zionekane baada ya mda fani? Maana nina hakika ata ujenzi wa terminal 3 Mwaimu Nyerere bado hatujaanza kupata faida

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatujaanza kupata faida terminal 3 lakini tunarudisha gharama za ujenzi (investment cost)!
 
Bongo unafiki umetawala sana. Kama ingekuwa ni miaka miwili nyuma, kamwe asingejaribu kutoa maoni ya aina hii.
Hayo sio maoni ni majibu ya uchunguzi wa Kisayansi uliofanywa kitaalamu na kubaini Magufuli alikuwa fisadi na wala sio mzalendo. Wanao msifia Magufuli wapo ktk makundi mawili
1. Wale wajinga ambao hata wakielezwa ukweli huu bado hayajitambui.
2. Sukuma GANG ambao wanufaika wa vyeo aidha kwa ukabila au urafiki walio kuwa nao kinafiki.
 
Tulisema tukaitwa wapinzani tuna wivu.

Sasa wenye mamlaka wa kusema wamesema.

.https://www.instagram.com/p/CcUyVOhtBIe/?igshid=YmMyMTA2M2Y=
Kwa sasa wanahangaika kuondoa mapenzi ya watu kwa Hayati JPM ili nao waonekane.

Nasema hivi, ni ngumu kuondoa uhalisia wa kazi za JPM ktk vichwa vya wengi hapa nchini na nje ya mipaka
 
Sio sgr tuu tukianza kuongelea miradi tanzania hii ni mingi ikiwemo chato. Kukosa mlengo kama taifa na dira kuu ni chanzo cha yote aya.

Nilitaka sahau mzizi wa yote aya ni CCM. Pamoja na kuhusisha vyeo vya kiutendaji pamoja na siasa
Kama taifa ili tuweze kusonga mbele inatubidi kuiondoa ccm
 
Ukifa hujapendezesha kwenu lazima watu wakupige vijembe.

Na hata ukifa umepapendezesha home kwenu, lazima tena wakupige vijembe.
 
Hivi uwanja wa ndege wa Chato unatofauti gani na Uwanja wa Ndege wa Musoma unaojengwa? Au wa Mtwara? Hizo faida anazotaka CAG ni zipi? Zionekane baada ya mda fani? Maana nina hakika ata ujenzi wa terminal 3 Mwaimu Nyerere ba faida

Sent using Jamii Forums mobile app
Chato ni international standard, airport , with runaways kwa ndege karibia zote kubwa .

Musoma ni regional airport just like ruvuma Sgx, ambaozo ni basic airports muhumu kwa maendeleo ya kijamii mikoani .

International airports huwa ni demand based constructed , sio matakwa ya mtu kama ilivyokuwa Chato
 
Back
Top Bottom