Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
- Thread starter
- #41
Hayo mapenzi unayapimaje?Kwa sasa wanahangaika kuondoa mapenzi ya watu kwa Hayati JPM ili nao waonekane.
Nasema hivi, ni ngumu kuondoa uhalisia wa kazi za JPM ktk vichwa vya wengi hapa nchini na nje ya mipaka
Nani kamkwambia kuwa ana mapenzi na huyo mwendazake?