Mkuu huo wote ni udhaifu wa katiba wa kumpatia madaraka makuubwa kiongozi mkuu.Hata mobutu seseseko kuku wa zebanga alijenga uwanja MKUBWA wa ndege kijijini kwao lakini baada ya kifo chake kiwanja hicho kimekuwa uwanja wa kuchungia mbuzi.....
Afrika siasa Ni ngumu kuliko fizikia..
Uwanja wa ndege chato ni uwanja wa ndege wa mkoa wa Geita acheni uzushi wenu.Una tofauti kubwa ndugu yangu. Ukitaka kujua jaribu kufikiri uwanja wenye hadhi ya Chato ujengwe chalinze au Mwanga. Ungeona ni sawa?
Hatujaanza kupata faida terminal 3 lakini tunarudisha gharama za ujenzi (investment cost)!Hivi uwanja wa ndege wa Chato unatofauti gani na Uwanja wa Ndege wa Musoma unaojengwa? Au wa Mtwara? Hizo faida anazotaka CAG ni zipi? Zionekane baada ya mda fani? Maana nina hakika ata ujenzi wa terminal 3 Mwaimu Nyerere bado hatujaanza kupata faida
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo sio maoni ni majibu ya uchunguzi wa Kisayansi uliofanywa kitaalamu na kubaini Magufuli alikuwa fisadi na wala sio mzalendo. Wanao msifia Magufuli wapo ktk makundi mawiliBongo unafiki umetawala sana. Kama ingekuwa ni miaka miwili nyuma, kamwe asingejaribu kutoa maoni ya aina hii.
Kwa sasa wanahangaika kuondoa mapenzi ya watu kwa Hayati JPM ili nao waonekane.Tulisema tukaitwa wapinzani tuna wivu.
Sasa wenye mamlaka wa kusema wamesema.
.https://www.instagram.com/p/CcUyVOhtBIe/?igshid=YmMyMTA2M2Y=
Kama taifa ili tuweze kusonga mbele inatubidi kuiondoa ccmSio sgr tuu tukianza kuongelea miradi tanzania hii ni mingi ikiwemo chato. Kukosa mlengo kama taifa na dira kuu ni chanzo cha yote aya.
Nilitaka sahau mzizi wa yote aya ni CCM. Pamoja na kuhusisha vyeo vya kiutendaji pamoja na siasa
Namuona hapo Kipara kipyaWalinda "legasi"View attachment 2187028
Sawa.Uwanja wa ndege chato ni uwanja wa ndege wa mkoa wa Geita acheni uzushi wenu.
Chato ni international standard, airport , with runaways kwa ndege karibia zote kubwa .Hivi uwanja wa ndege wa Chato unatofauti gani na Uwanja wa Ndege wa Musoma unaojengwa? Au wa Mtwara? Hizo faida anazotaka CAG ni zipi? Zionekane baada ya mda fani? Maana nina hakika ata ujenzi wa terminal 3 Mwaimu Nyerere ba faida
Sent using Jamii Forums mobile app