CAG: Uwanja wa Ndege Chato ni mradi usio na faida

Kwa sasa wanahangaika kuondoa mapenzi ya watu kwa Hayati JPM ili nao waonekane.

Nasema hivi, ni ngumu kuondoa uhalisia wa kazi za JPM ktk vichwa vya wengi hapa nchini na nje ya mipaka
Hayo mapenzi unayapimaje?
Nani kamkwambia kuwa ana mapenzi na huyo mwendazake?
 
Huo uwanja wa Chato ulikuwa na umuhimu gani kujengwa chato wakati kuna uwanja wa Mwanza na pale Bukoba?
Ns wa Musoma je? Au viwanjs vya Mwanza na Bukoba vimechimbwa matuta
 
Ila CAG huyu huyu ingekuwa enzi za Magufuli, asingethubutu kutoa maoni kama haya. Na huu ndiyo ukweli mchungu.
 
Ns wa Musoma je? Au viwanjs vya Mwanza na Bukoba vimechimbwa matuta
Hivi unajua kuna km ngapi kutoka Mwanza kwenda Musoma?

Kuna km ngapi kutoka mwanza kwenda Bukoba?

Unajua kuna km ngapi kutoka mwanza kwenda Chato?
 
Haya Mambo unayo mueleza huyo muimba mapambio ya watu wa kuzimu ni makubwa Sana kwake hawezi kuelewa kaka. Elimu hiyo inabidi uwape watu wenye Akili timamu. Kama Jiwe mwenyewe alisema yeye ni Kichaa na huchagua vichaa wenzake kuwapa uongozi Kama akina Sabaya, Makonda, Mnyeti, Ally Happy unategemea wafuasi wa jiwe wawe timamu kiakili?
 
Usifananishe uwanja wa ndege wa Musoma na vitu vya kijinga,Kuna hifadhi ya wanyama Serengeti,zimeungana na Ngorongoro,

Huko kwenu Burigi Chato Hakuna wanyama zaidi ya Nyani.
 
Mnachoweza ni join the chain tu, semeni Kuna Nini kingine zaidi ya kuhangaika na Magufuli?


Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Lakini kwa kweli Mungu ni fundi, miaka sita nchi iliharibiwa, ubaguzi wa kivyama ukashamiri hata kuzikana tukawa tunazikana kivyama. Kwa Sasa Rais Samia anarejesha umoja wa Kitaifa ulioharibiwa.
 
Bishana kwa data siyo hisia mkuu,kumbuka CAG aliaminiwa na kuteuliwa na jiwe mwenyewe. Msipende kupingana na ukweli.
 
Angelazimishwa kustaafu
Nilicheka sana siku ambapo Prof. Mussa Assad alipoulizwa ghafla kama kweli kuna upotevu wa ile Trillion 1.5! Kiufupi
alijibu kwa wepesi tu "Hapana Mweshimiwa Rais" 😬😬😬

Na hapo hapo kwenye mitandao habari ndiyo ilikuwa inazunguzwa kweli kweli! Hakika yule Mzee alikuwa anaogopwa na wasaidizi wake mpaka basi.
 
Bimkubwa alishasema kuwa watu walikuwa na nidhamu ya uoga tu.
 
Lakini kwa kweli Mungu ni fundi, miaka sita nchi iliharibiwa, ubaguzi wa kivyama ukashamiri hata kuzikana tukawa tunazikana kivyama. Kwa Sasa Rais Samia anarejesha umoja wa Kitaifa ulioharibiwa.
Miaka 60 ya uhuru ukitoa 5 ya Magufuli unapata miaka 55, Hiyo miaka 55 tulikwa tumefika wapi?
 
Ila CAG huyu huyu ingekuwa enzi za Magufuli, asingethubutu kutoa maoni kama haya. Na huu ndiyo ukweli mchungu.
Sijui hapo unataka kusema Nini? Kwamba watu waendelee na hofu aliyoipandikiza Magufuli? Au sijui unataka kusema nini!
 
Tulisema tukaitwa wapinzani tuna wivu.

Sasa wenye mamlaka wa kusema wamesema.

.https://www.instagram.com/p/CcUyVOhtBIe/?igshid=YmMyMTA2M2Y=
Yani Jiwe angeendelea kuwa Rais sijui tu. Asante sana Mungu kwa kutuletea mama Samia. Mimi na uhakika at the end of 2023 uchumi wetu mama ataupaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…