Acha kujitoa ufahamu, ulishawahi taka kwenda ulaya ukakosa ndege!? Hii purely matumizi mabaya ya Hela za walipakodiNi kweli watwambie ni wapi viwanja vyenye faida? Mzee kaingia hata ndege hamna, sasa wenyewe wanapanda kwenda ulaya huku wakimponda!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kujitoa ufahamu, ulishawahi taka kwenda ulaya ukakosa ndege!? Hii purely matumizi mabaya ya Hela za walipakodiNi kweli watwambie ni wapi viwanja vyenye faida? Mzee kaingia hata ndege hamna, sasa wenyewe wanapanda kwenda ulaya huku wakimponda!
Uwanja wa chato hauna faida na hiyo ndiyo ripoti ya CAG.Kwa sababu waafrica wengi mawazo yao ni finyu na fupi ndiyo maana wanasema mradi wa chato aina faida. Tunataka faida ya leo na si ya kesho.
Wanaojiita wataalamu na wanasiasa hawajui kuwa watu wanaongezeka kila kukicha. Dar es salaam ya mwaka 1990 siyo ya leo 2022. Hatuna long term plan bali miradi zetu nyingi ni za muda mfupi. Kila alioko madarakani anawaza atengeneze ya leo na si ya kesho kwa faida ya vizazi vijavyo.
Hata wanaojiita wapinzani wakiingia madarakani hawatabadili chochote. Kila mwanasiasa yupo kwa maslai yake binafsi.
Mwanasiasa anataka utawala na si kusaidia Raia wanaostaabika kila kukicha. Mwanasiasa si rafiki wa mwananchi wa kawaida. What they need is only power.
Hiv ule uwanja uliojengwaga cjui kama ilikamilika Lindi kipnd cha JK ilikuwa na faida gani??, na kpnd cha jpm uwanja wa iringa una faida gan maana mkoa wa iringa tunaujua vizur ata movement za ndege airport pale tunafaham vizur.Tulisema tukaitwa wapinzani tuna wivu.
Sasa wenye mamlaka wa kusema wamesema.
.https://www.instagram.com/p/CcUyVOhtBIe/?igshid=YmMyMTA2M2Y=
Iviiii alivokuwa haiiii mbona awakuyasema hayaaaaaa????Tulisema tukaitwa wapinzani tuna wivu.
Sasa wenye mamlaka wa kusema wamesema.
.https://www.instagram.com/p/CcUyVOhtBIe/?igshid=YmMyMTA2M2Y=
Huu upuuzi wako kamuulize CAGHiv ule uwanja uliojengwaga cjui kama ilikamilika Lindi kipnd cha JK ilikuwa na faida gani??, na kpnd cha jpm uwanja wa iringa una faida gan maana mkoa wa iringa tunaujua vizur ata movement za ndege airport pale tunafaham vizur.
Acheni chuki binafsi tafuteni hela.
Fikiria symbion walitekeleza mkataba Kwa mwezi mmoja, na mkataba kuvunjwa then wanafidiwa billion 350!! Ni wapi duniani hii inaweza kutokea!?!?Bila ccm tanzania tungekuwa matajiri sana kulingana na rasilimali tulizo nazo.
Tunataka Rais asiye sujudia mabeberu ,siyo hawa waisilamu wanasududia mabeberu kama munguEti kuchangamsha kwa lipi labda?
Aliwatumia TAN ROAD kusimamia mradi. Hata huko rufiji msimamizi wa mradi ni TANROAD. kichaa alikuwa anapenda TANROAD kwelikweliKulikuwa na viashiria vya udikiteeta kwenye maamuzi
Ulitaka miradi ianze lini?
Kama si maamuzi magumu Kuhamia dodoma ingekuwa ndoto, SGR n.k hapa kukaa na kulalamika ujinga haisaidii, tafuteni hela mmalize SGR NA bwawa la umeme!
Mahali pasipo na hoja?Ukiwa na ufahamu mpana utanielewa! Fikiria nje ya box utanielewa
Yule CAG kabla yake aliulizwa swali na mjomba,"Eti kuna hela trion kadhaa zimeibwa?.Bongo unafiki umetawala sana. Kama ingekuwa ni miaka miwili nyuma, kamwe asingejaribu kutoa maoni ya aina hii.
Umuhimu ulikuwepo kama tuliweza kupima corona kwenye mapapai natukamshangilia eti nimzalendo.huku akituma ndege ikachukue juice Madagascar wakati WHO hajaidhinishaHuo uwanja wa Chato ulikuwa na umuhimu gani kujengwa chato wakati kuna uwanja wa Mwanza na pale Bukoba?