CAG wa kwanza Mtanzania kutokuongezewa mkataba baada ya miaka yake yake mitano ya kwanza kumalizika

CAG wa kwanza Mtanzania kutokuongezewa mkataba baada ya miaka yake yake mitano ya kwanza kumalizika

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Posts
24,386
Reaction score
57,588
Sijui Prof Assad alikosea wapi mpaka kawa CAG wa kwanza Mtanzania hapa Tanzania kutokuongezewa mkataba baada ya miaka mitano kuisha.
20191103_102954.jpg
20191103_102954.jpg
 
Alisema Mtu yule kuwa tusiishi kwa mazoea
Huenda anaitendea kazi kauli yake
 
Hivi mwanasheria wa ikulu ni nani? Na amesoma chuo gani? Usikute ana certificate hata kutafsiri katiba inamshinda
Miaka mitano ya mwanzo ikiisha unaweza kuongezewa tena term nyingine. Ludovick aliongezewa na Jayaya Kikwete. Sijui Assad alikosea nini hadi kaweka historia ya kuwa CAG wa kwanza mzalendo kutokuongezewa muda.
 
Back
Top Bottom