LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Mkuu huo ndo ukweli, naomba wewe ukarudie...kipindi cha ziada kinazungumzwa kwa MTU aliyetimiza umri Wa kustaafu.fixed term maana yake rais hawezi mteua Assad kwa miaka 2 kushika nafasi ile.Karudie kusoma tena Ibara ya 144 ya katiba, labda unaweza kuja na mtazamo tofauti na huu.