CAG wa kwanza Mtanzania kutokuongezewa mkataba baada ya miaka yake yake mitano ya kwanza kumalizika

CAG wa kwanza Mtanzania kutokuongezewa mkataba baada ya miaka yake yake mitano ya kwanza kumalizika

We naweee.si zile 1.5 trillion zilizokanyagwa.
Wakataka akae kimya mzee Assad akagoma.
Ccm wanalindana na mwenyekiti wao.
Wajukuu zetu watakuja kuishangaa Sana ccm.kumlinda mwenyekiti wao
Zile zilikwenda wapi?According to CAG.
 
Napenda jinsi mabush lawyers tunavyo jikanyaga hapa ingawapo kila mmoja wetu anajifanya anajua. Kwa mara ya kwanza nakubaliana na STROKE ameiweka vizuri kuhusu hicho kifungu husika.
Mimi sioni ajabu ya JPM kuto kumpa Assad mkataba mwingine. Wengi wetu tunataka watu ambao tunaweza kuwacontrol hasa kwenye position nyeti kama hiyo. Kwa kulijua hili ndio maana katiba inamlinda CAG vinginevyo angekwisha ondolewa. Ni wazi Assad ni mtu mwenye weledi na maadili ya juu kuhusu kazi yake na ukweli huu ndio umemfanya jiwe na kundi lake kwa style yao ya utawala wamweke kando mara tu nafasi ilipojitokeza.
 
Hao viongozi wako Wa upinzani pambana nao, umri Wa kustaafu CAG ni miaka 60, Assad ana miaka 58, rais kavunja katiba waziwazi.Assad alipaswa kustaafu 2024.Rais angeweza kuteua mwingine muda huo au kumuongezea muda usiozidi miaka mitano.
Mbona mbowe kavunja katiba ya chadema hataki kuitisha uchaguzi je siku tukiwapa nchi chadema sijui itakuwaje wakatavyo vuja katiba ya nchi
 
Kwani mbowe yeye muda wake si umeshaisha wa kuongoza chadema mbona hataki kuachia au na yeye hajavunja katiba ya chama?
 
Sababu unaijua dada yangu. Mambo ni mengi, tena yanafanyika bila vificho ila watanzania ni wazembe. Ni aina ya watu ambao hawana zile guts za "IMETOSHA SASA"
Kwa kiswahili cha kwetu, Watanzania ni MAZUZU, MAZEZETA..
 
Sababu unaijua dada yangu. Mambo ni mengi, tena yanafanyika bila vificho ila watanzania ni wazembe. Ni aina ya watu ambao hawana zile guts za "IMETOSHA SASA"

Hizo guts wanatoa wapi ikiwa nidhamu ya uoga ndio inayotawala...kila mtu anahofia maisha yake...we have a long way to go[emoji67]🏽‍[emoji335]
 
Miaka mitano ya mwanzo ikiisha unaweza kuongezewa tena term nyingine. Ludovick aliongezewa na Jayaya Kikwete. Sijui Assad alikosea nini hadi kaweka historia ya kuwa CAG wa kwanza mzalendo kutokuongezewa muda.

Hivi ni budi kwamba muda wake ukiisha kisheria na kikatiba apewe kipindi kingine? Je kuna kanuni, kipengele cha sheria au katiba kimevunjwa? Au ndiyo mazoea hujenga tabia pia huwa kama sheria.
 
Miaka mitano ya mwanzo ikiisha unaweza kuongezewa tena term nyingine. Ludovick aliongezewa na Jayaya Kikwete. Sijui Assad alikosea nini hadi kaweka historia ya kuwa CAG wa kwanza mzalendo kutokuongezewa muda.


Kwa mambo haya kazi ipo

 
Unajinasibu wewe ni mzalendo, lakini wazalendo wa kweli hutaki kufanya nao kazi ila jamii ya watu kama Musiba na Bashite wanaoimba utukufu kwa jina lako.
Ni watu wajinga tuu ndio watakao shindwa kuelewa HADAA yako ya huo uzalendo, ila muda utasema tuu na hata hao waliofungwa macho na akili watatambua hizo hadaa.
 
Tatizo ni Trilioni 1.5.
Ila badae atakuja kuwa shahidi muhimu sana dhidi ya Mtu mahakamani.
Kauli hii yaweza kuhatarisha maisha yake. Lakini kwa vile ni mcha Mungu basi tutegemee kuwa atamlinda mzalendo huyu
 
Maadui wa Bwana Yule wanazidi kuongezeka. 2020 yaja kuna kila dalili kutoongezewa muda wa kupeperusha bendera na chama chake. Yangu macho.
Pamoja na ccm kujaa mbumbumbu, lakini ninamashaka sana 2020 kama wataendelea kuwa mbumbumbu
 
Back
Top Bottom