Mkuu katiba ni hio hapo wapi wamezungumzia swala la kipindi cha miaka mitano? Swala la msingi ni kufikisha miaka 60 huyu mtu ana miaka 58 inakuaje?Miaka mitano ya mwanzo ikiisha unaweza kuongezewa tena term nyingine. Ludovick aliongezewa na Jayaya Kikwete. Sijui Assad alikosea nini hadi kaweka historia ya kuwa CAG wa kwanza mzalendo kutokuongezewa muda.
Ujue huyo kapekuwa mahali pasipotakiwa kupekuliwa na JiweSijui Prof Assad alikosea wapi mpaka kawa CAG wa kwanza Mtanzania hapa Tanzania kutokuongezewa mkataba baada ya miaka mitano kuisha. View attachment 1252964View attachment 1252965
Acha kila mtu afanye kazi na mtu anayemtaka
Haahaa tatizo rais kavunja katiba waziwazi mpaka mangumbaru wanajuaOfisi iligeuzwa chama cha siasa.
Nadhani kwa sasa atakuwa huru kuanzisha chama chake cha kisiasa Taaluma imemshinda.
Labda aliamua kumsifu na kumtukuza Mungu mmoja tu.
Nataka nijue sababu gani Rais alizitoa siku anatengua uteuzi wa kichere TRA.
Tatizo tuna viongozi wa upinzani ambao hawajui hata kutafsiri vyema katiba, wanaishia kupotosha umma.Haahaa tatizo rais kavunja katiba waziwazi mpaka mangumbaru wanajua
Hao viongozi wako Wa upinzani pambana nao, umri Wa kustaafu CAG ni miaka 60, Assad ana miaka 58, rais kavunja katiba waziwazi.Assad alipaswa kustaafu 2024.Rais angeweza kuteua mwingine muda huo au kumuongezea muda usiozidi miaka mitano.Tatizo tuna viongozi wa upinzani ambao hawajui hata kutafsiri vyema katiba, wanaishia kupotosha umma.
Huoni hiyo hatari??
Halafu , hao wasioweza kusoma Ibara moja ya Katiba na Kuielewa wanataka tuwape dhamana ya hii nchi.
Tutakuwa hatuipendi nchi hii tukiwapa dhamana ya kutuongoza watu wa aina hiyo.
YesLakini bila kuvunja katiba
Karudie kusoma tena Ibara ya 144 ya katiba, labda unaweza kuja na mtazamo tofauti na huu.Hao viongozi wako Wa upinzani pambana nao, umri Wa kustaafu CAG ni miaka 60, Assad ana miaka 58, rais kavunja katiba waziwazi.Assad alipaswa kustaafu 2024.Rais angeweza kuteua mwingine muda huo au kumuongezea muda usiozidi miaka mitano.