LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Mkuu huo ndo ukweli, naomba wewe ukarudie...kipindi cha ziada kinazungumzwa kwa MTU aliyetimiza umri Wa kustaafu.fixed term maana yake rais hawezi mteua Assad kwa miaka 2 kushika nafasi ile.Karudie kusoma tena Ibara ya 144 ya katiba, labda unaweza kuja na mtazamo tofauti na huu.
Hivi unaelewa maana ya Neno "shall" kwenye Sheria au unabisha Kwa kutumia makalio yakoKarudie kusoma tena Ibara ya 144 ya katiba, labda unaweza kuja na mtazamo tofauti na huu.
Una maana gani kusema hivyo.Mkuu huo ndo ukweli, naomba wewe ukarudie...kipindi cha ziada kinazungumzwa kwa MTU aliyetimiza umri Wa kustaafu.fixed term maana yake rais hawezi mteua Assad kwa miaka 2 kushika nafasi ile.
Hata baadae ukija ibuliwa haitasaidia,maana Rais mstaafu hawezi shitakiwa labda uwe utawala nje ya CCM kitu ambacho ni ngumu utawala nje ya CCM kutokea.
Nioneshe hiyo shall mkuu, inakuja baada ya matumizi ya neno lipi.Hivi unaelewa maana ya Neno "shall" kwenye Sheria au unabisha Kwa kutumia makalio yako
Mkuu fixed term of 5 years wewe unaelewaje? Maana yake ni kwamba rais hawezi mteua CAG kuhudumia nafasi hiyo chini ya miaka mitano.kwa mfano Assad kwa sasa hana umri Wa kustaafu hivi kwa umri wake Wa miaka 58 kubaki ofisini ni lazima kwa miaka mitano mingine.Hiyo sio ombi ni hitaji la kikatiba.2024 rais angeweza mwondoa au mwongezea miaka mitano mingine.Rais kashauriwa vibaya Na AG.Una maana gani kusema hivyo.
Sidhani kama umeielewa vyema.
Muda wake wa miaka mitano umeisha nov 2.Mkuu fixed term of 5 years wewe unaelewaje? Maana yake ni kwamba rais hawezi mteua CAG kuhudumia nafasi hiyo chini ya miaka mitano.kwa mfano Assad kwa sasa hana umri Wa kustaafu hivi kwa umri wake Wa miaka 58 kubaki ofisini ni lazima kwa miaka mitano mingine.Hiyo sio ombi ni hitaji la kikatiba.2024 rais angeweza mwondoa au mwongezea miaka mitano mingine.Rais kashauriwa vibaya Na AG.
Mkuu twende taratibu, unafahamu CAG hawezi ondolewa bila timiza umri Wa kustaafu? Kwa mujibu Wa katiba? Pitia ibara 144Muda wake wa miaka mitano umeisha nov 2.
Katiba haisemi kuwa lazima apewe mingine mitano akimaliza mitano ya awali.
Hivyo Rais yupo sahihi kutoongeza mitano kwani kuongeza mitano mingine ni Discretion yake.
ILA ;
hawezi kuondolewa ndani ya miaka mitano bila kufuata taratibu zilizoainishwa katika hiyo Ibara.
Ushasema mzalendoMiaka mitano ya mwanzo ikiisha unaweza kuongezewa tena term nyingine. Ludovick aliongezewa na Jayaya Kikwete. Sijui Assad alikosea nini hadi kaweka historia ya kuwa CAG wa kwanza mzalendo kutokuongezewa muda.
sawa hiyo ni katika ule muda wa miaka 5 ;Mkuu twende taratibu, unafahamu CAG hawezi ondolewa bila timiza umri Wa kustaafu? Kwa mujibu Wa katiba? Pitia ibara 144
Kumbuka Ludovic Utouh hakumaliza miaka yake mitano ya term ya pili. Aliteuliwa kuendelea term ya pili ila alifika miaka ya kustaafu kabla miaka mitano ya season two haijaisha.Mkuu huo ndo ukweli, naomba wewe ukarudie...kipindi cha ziada kinazungumzwa kwa MTU aliyetimiza umri Wa kustaafu.fixed term maana yake rais hawezi mteua Assad kwa miaka 2 kushika nafasi ile.
Yes ila kwa ile miaka mitano ya mwanzo. Assad alikuwa eligible kuteuliwa tena maana CAG anastaafu akiwa na miaka 65.Hivyo Assad angeweza kuendelea term ya pili na kumaliza mitano mingine. Tena angemaliza term ya pili kabla hata hajafika 65.Mkuu twende taratibu, unafahamu CAG hawezi ondolewa bila timiza umri Wa kustaafu? Kwa mujibu Wa katiba? Pitia ibara 144
Hapana miaka mitano ya mwanzo inaisha kesho. Rais hajataka tu kumuongezea mingine mitano. Na kama angeongezewa mitano mingine ingeisha kabla ya umri wa kustaafu. Maana CAG wanastaafu wakiwa na 65 yrs kama ilivyokuwa kwa Ludovic Utouh.Kwa mujibu Wa katiba Assad alipaswa kustaafu 2024, baada ya hapo rais angeweza kumuongezea kama angeridhika Na utendaji wake, kumuondoa sasa rais kavunja katiba...
Sio kila mtu ni mlaji.Hajui kula na vipofu.
Miaka mitano ya mwanzo ikiisha unaweza kuongezewa tena term nyingine. Ludovick aliongezewa na Jayaya Kikwete. Sijui Assad alikosea nini hadi kaweka historia ya kuwa CAG wa kwanza mzalendo kutokuongezewa muda.