Unajinasibu wewe ni mzalendo, lakini wazalendo wa kweli hutaki kufanya nao kazi ila jamii ya watu kama Musiba na Bashite wanaoimba utukufu kwa jina lako.
Ni watu wajinga tuu ndio watakao shindwa kuelewa HADAA yako ya huo uzalendo, ila muda utasema tuu na hata hao waliofungwa macho na akili watatambua hizo hadaa.