kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
10,000 Kenyans own 62% of your economy, actual figure is that, nearly 50M Kenyans share only 38% of the Economy, so the figure you talk about is only for calculation.
Even Burundians don't die of hunger, shame on you.All men must die.
They die differently in different countries.
In the developed US, they are battling measles outbreaks.
Hahahahaha, Tanzania people are malnourished but alive, Kenya people eat more food but are dying left and right.
Hakuna tofaut na kuongoza kwenye darasa la wajinga sasa
They also don't eat albinos.Even Burundians don't die of hunger, shame on you.
And somehow those 10,000 Kenyans have built 10,000 more km of roads than Tanzania. Connected 5 million houses to electricity than Tanzania. Wow!
Hizo data zote zimekua verified na WB na UNDP, mwisho mtakataa kwamba hakuna ukabila Kenya.
Ahahaha so watu wa north korea ni masokwe????ππππ kwani nani hajengi barabara ??? Ukubwa wa tanzania ni mara mbili ya kenya na maeneo mengi yanafkikia kwa lami wewe unaongea nn
Keep on dreaming, Kama hata chakula wala MAJI safi na salama, mambo ambayo ni basics hamuwezi, vipi muweze kuishinda Giant Tanzania katika mambo hayo?, Tanzania leads in every sector except corruption and tribalism
UhahhahahahππππππππDar is Slum
Jiji lote ni slum
Uchumi wenyewe 66% ya GDP ni madeni tu kazi waliobakia nayo ni kukopa loan kulipa loanππππHizi bangi za kukaa nyuma ya keyboard na kushindana ujinga, eti kisa ku prove kuwa nyie waKenya ni bora wakati pesa zinapigwa nje nje muache..
Mi naomba tufikie muda sasa kwenye mambo ya kipuuzi kama haya ya kifisadi tuwe tunaungana...kama TZ wameficha data kwa IMF ni upuuzi basi tuungane wote na kukemea, na kama CAG wa Kenya amesema pesa zimepigwa basi ni jambo la kipuuzi kujifanya unajua mambo eti mfichie mwafrika vitu kwa kitabu wakati pesa zinapigwa.
Mwisho wa siku sisi raia tutaendelea kushindana kwa mikelele isiyo na faida huku nchi zetu zikididimia...
Tujifunze kwa mfano wa UAE na Nigeria, wote wana mafuta, ila tu kwa kuwa kuna wapuuzi wanaringa wao ni giant basi linchi lao limejaa rushwa na umaskini uliopitiliza..Nchi kuwa na uchumu haimaanishi raia wa kawaida kama mimi kuwa na uchumi mkubwa.
So UAE yote ni jangwa ushawah sikia wanalia na njaa???ππππTanzania haina jangwa. Wengi wa watanzania ni rural farmers, ambao hawahitaji kwenda soko. Wanalima chakula chao chote.
Yani sio Kenya tu mzee, hata sisi Tz ni failed state, ni sawa na viziwi wanaochekana tu..eti mimi maskio yangu yanaskia upepoSo UAE yote ni jangwa ushawah sikia wanalia na njaa???[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mkubali kua kenya ni failed state
Watu wanapiga 725b ksh alaf unataka north kenya wasife njaa
Kapimwe mkojo alaf uje tuongeeYani sio Kenya tu mzee, hata sisi Tz ni failed state, ni sawa na viziwi wanaochekana tu..eti mimi maskio yangu yanaskia upepo
Kaka nchi haiwi failed state kutokana na personal wishes, Kenya imekuwa ranked as a failed state na ruputable international bodies baada ya kufanya scientific research.Yani sio Kenya tu mzee, hata sisi Tz ni failed state, ni sawa na viziwi wanaochekana tu..eti mimi maskio yangu yanaskia upepo
Basi tu kwa kuwa ni battle za kipuuzi, hizo international bodies ndizo tulizozinyima data za uchumi mjomba..Kaka nchi haiwi failed state kutokana na personal wishes, Kenya imekuwa ranked as a failed state na ruputable international bodies baada ya kufanya scientific research.
Na ndio hao hao wanaoitaja Kenya kama failed state, corrupt, high crime rate, hunger, unemployment, slums and povertyMashirika yale yale yanayosema kwamba uchumi wa Tanzania, Uganda, Burundi na South Sudan ukiunganishwa huwezi fikia wa Kenya.
πππππππππ Watu wamekula pesa kilainiBrainwashed zombie.