Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
AmenHili ni la kukemea kwa kiwango cha juu kama kuna ukweli wowote.
Inaumiza sanaTulimponda jiwe aka dikteta uchwara ila mdogo tunaanza mkumbuka.
Kukemea tu?Hili ni la kukemea kwa kiwango cha juu kama kuna ukweli wowote.
CCM wote ni wezi na wanyonyaji hakuna jiwe wala dongo.Tulimponda jiwe aka dikteta uchwara ila mdogo tunaanza mkumbuka.
Huyu mama sikio la kufa....CAG ametumbua jipu. Wanafunzi elimu ya juu wanaotoka familia maskini wananyanyaswa na kutaabika. Bodi ya mikopo ni rushwa tupu. Undugu mtupu,ubabe usiopimika.
Hata hao watumishi wa bodi baadhi wameingia kimchongo. Asiyeamini aende akamuone huyo PS wa bodi pale DSM. Yani nikatoto kamejaa kiburi,kejeli na hajawahi kufika chuo kikuu yule. Yule tu nikielelezo tosha kwa bodi kwamba rushwa imeanzia ndani mwao.
Watoto waliofiwa na wazazi wanapewa ada asilimia 12 kwamfano,hawapewi hela ya field ikiwa wapo maisha safi wanaosoma kozi zinazofanana na hao maskini lakini wanapewa ada asilimia 100 na hela ya field juu
Nilishaandika sana,mkurugenzi wa bodi kazi ishamshinda rushwa imetamalaki ofisini mwake
Naomba muendelee kumkumbuka hivyo hivyo kwa maana Mtanzania tabu na mateso ndio baba na mama yake. Ndio asili yake toka kuzaliwa yani asipowekwa kwenye hayo mazingira hasikii raha.Tulimponda jiwe aka dikteta uchwara ila mdogo tunaanza mkumbuka.
Hakuna cha mama wala bibi,Huyu mama sikio la kufa....
Jiwe alipambana kupunguza washenzi kwenye wizi nchi ilitulia kidogo wanyonge mkapumua ila waliobinywa kende wakaendelea na propoganda zao za kisheitwani!CCM wote ni wezi na wanyonyaji hakuna jiwe wala dongo.
Mtatubu tu.Tulimponda jiwe aka dikteta uchwara ila mdogo tunaanza mkumbuka.
Lakini ushetani wa jiwe siyo wa huyu aliyepo.CCM wote ni wezi na wanyonyaji hakuna jiwe wala dongo.
Jiwe walilolikataa washaashi..... tutalikumbuka sanaJiwe alipambana kupunguza washenzi kwenye wizi nchi ilitulia kidogo wanyonge mkapumua ila waliobinywa kende wakaendelea na propoganda zao za kisheitwani!
Magufuli will remain one of the best President to happen in Tanzania
Jiwe alipambana kupunguza washenzi kwenye wizi nchi ilitulia kidogo wanyonge mkapumua ila waliobinywa kende wakaendelea na propoganda zao za kisheitwani!
Magufuli will remain one of the best President to happen in Tanzania
Wote dugu mojaLakini ushetani wa jiwe siyo wa huyu aliyepo.
Awamu ya Dikteta Jiwe report ya CAG iliweka wazi kina Kigwangala walivyoiba pesa za umma, je kuna hatua zozote za kisheria walichukuliwa??
Tittle na unacho comment haviendani mkuu!Awamu ya Dikteta Jiwe report ya CAG iliweka wazi kina Kigwangala walivyoiba pesa za umma, je kuna hatua zozote za kisheria walichukuliwa??