CAG: Watoto wa Masikini wapigwa chini mikopo elimu ya juu, Watoto wa matajiri wala bata

CAG: Watoto wa Masikini wapigwa chini mikopo elimu ya juu, Watoto wa matajiri wala bata

Wote ni watanzani na wote wanahaki ya kupewa mikopo Watanzania tuache akili za kimajungu majungu kwaiyo akiwa mtoto wa tajiri ndo asitahili mkopo
Mambo mengne ni mambo ya kuraumu baba zenu na mama zenu kwa nn ni maskini na kwa nn walkubali kua maskin
Ila mambo ya kuona kuna group la watu ndo linahaki ya kunufaika na lasilimali za nchi na lingne halina haki

Kla ktu maskin mnataka mpewe kla ktu wanyonge ndo mnataka mtangulizwe.
Tz yan mtu akiwa tajiri ni kosa hatakiwi
kua na haki wakat hao matajiri ndo wanalipa kodi na kuiingizia mapato makubwa serikal

Watanzania tuache majungu na akili za kifukala yani mtu atafute pesa zake ajinyime kwa miaka atengeneze mtaji awe na pesa/ atajilike af tena akose amani ksa ni tajiri

Wacha bodi ya mikopo itoe mikopo kwa yyte yule anaestahili na mwenye vigezo na ata watoto wanaongoza kwa ufauru Tz ni watoto wa matajiri izo St zote wanasoma wanojiweza
Wewe jamaa unafaa upewe ban kwa uharo ulioandika
 
Hakuna wa kumlaumu kama kwa %kubwa wasiojiweza wamekosa mikopo ili hali wanavigezo.

Kwani Mama Mwenye nyumba alishasema " hata watoto wenye uwezo nao wanufaike mikopo" yote hayo ni kupindua mambo aliyofanya Past President kwajuhudi alizokuw akifanya. Na kwasababu alitamki ulitegemea board wafanye nini, kilichobaki ni kutekekeza tu.

Yaani kwa hapo RUSHWA imechezwa sana kwenye mikopo...
Watoto wa matajiri wanapata mikopo 100% kuliko watoto wasiojiweza.

Hii sisawa Japokuwa sisi wote ni Watanzania!

View attachment 2186766
Pole zao kwa kweli wenye bahat kipind cha jiwe alitoa tamko moja tu hakuna first year kukosa mkopo na kweli wote tulipata
 
aniii CAG anatoa uozoo wa taifa lakn mama anaupiga mwing marekanii.....kwann asingepokea taarfa za CAG afu ndo aende zake kwenye uzinduzi wa filam yake iyoo...aniii hii nchiii asee[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Hakuna wa kumlaumu kama kwa %kubwa wasiojiweza wamekosa mikopo ili hali wanavigezo.

Kwani Mama Mwenye nyumba alishasema " hata watoto wenye uwezo nao wanufaike mikopo" yote hayo ni kupindua mambo aliyofanya Past President kwajuhudi alizokuw akifanya. Na kwasababu alitamki ulitegemea board wafanye nini, kilichobaki ni kutekekeza tu.

Yaani kwa hapo RUSHWA imechezwa sana kwenye mikopo...
Watoto wa matajiri wanapata mikopo 100% kuliko watoto wasiojiweza.

Hii sisawa Japokuwa sisi wote ni Watanzania!

View attachment 2186766
Hii ripoti ni ya awamu ipi? Mimi ninajua ni ya 2020/2021 sasa Mama hapa anaingiaje?
 
Magufuli hakuwa Dikteta, hiyo nakataa!
Eheeee ndio maana unamsingizia Mama kwa ripoti ambayo si yake ya Mwaka wa fedha ya Mama inaanza July 2021 tatizo unaandika kwa hisia wakati ukweli haujui report ya CAG ya sasa ni ya Mwaka July 2020/2021 June kaa chini Calculate hesabu zako
 
Back
Top Bottom