Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
- Thread starter
- #21
Atakuwa mchambuzi wa gazeti la JamhuriMangapi mazuri yalifanywa? Sahizi tozo, mfumuko, ufisadi na bado mengi mtayasikia mtajivunia uongozi kwa lipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa mchambuzi wa gazeti la JamhuriMangapi mazuri yalifanywa? Sahizi tozo, mfumuko, ufisadi na bado mengi mtayasikia mtajivunia uongozi kwa lipi?
Kama haviendani hizo story za dikteta jiwe msilete hapa.Tittle na unacho comment haviendani mkuu!
Things speak by themselves.Mangapi mazuri yalifanywa? Sahizi tozo, mfumuko, ufisadi na bado mengi mtayasikia mtajivunia uongozi kwa lipi?
Hii fungua thread yake tujadili.Magufuli hakuwa Dikteta, hiyo nakataa!
Magazeti ya Uhuru banaAtakuwa mchambuzi wa gazeti la Jamhuri
Naomba muendelee kumkumbuka hivyo hivyo kwa maana Mtanzania tabu na mateso ndio baba na mama yake. Ndio asili yake toka kuzaliwa yani asipowekwa kwenye hayo mazingira hasikii raha.
Kitu kilikuwa kinamcost ni ukatili angeweza liepuka hilo angekuwa rais mzuri sana. Sema ndo hivyo tena haiwekani labda uko akiwa kiongozi wa malaika asiwakatili malaika.Mtatubu tu.
Huwezi kuwajibisha watu kama huna calibre ya ukatili!Kitu kilikuwa kinamcost ni ukatili angeweza liepuka hilo angekuwa rais mzuri sana. Sema ndo hivyo tena haiwekani labda uko akiwa kiongozi wa malaika asiwakatili malaika.
Mifumo ni ile ile ndugu. Kwa nchi hii hata aje nani kututawala hakuna kitakachobadilika. Ni mpaka pale tutakapobadilisha falsafa yetu na mtizamo kama taifa. Jiwe aliamua tu kutumia maguvu ili mambo angalau yaende...na kwa kiasi fulani yalienda!Wote dugu moja
Kwani kwa sasa Falsafa yenu kama taifa ni ipi??Mifumo ni ile ile ndugu. Kwa nchi hii hata aje nani kututawala hakuna kitakachobadilika. Ni mpaka pale tutakapobadilisha falsafa yetu na mtizamo kama taifa. Jiwe aliamua tu kutumia maguvu ili mambo angalau yaende...na kwa kiasi fulani yalienda!
Hata leo hii wakipewa nchi akina DJ na Wabelgiji hakuna kitakachobadilika. Tutakachofanya tu ni kubadilisha walaji ambalo pengine ni jambo jema. Mianasiasa! [emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2187126