Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Unajigeuza James Bond au MI6 kwa ghafla sana.Ukiingia kwenye room kama ni mchana ,shusha mapazia chumba kiwe giza ,kisha washa camera ya simu zungusha chumba kizima ,ukiona kwenye camera kuna red basi jua ni hidden cctv camera hiyo.
Aiseeh, kweli nimeonekana 😮Waliona mtu anajipaka mafuta mapajani.
NB:Nimehisi tu.Sikuwepo.
Tena wa bure bora wale wengine wanalipwa 🤣Khaaaa hatariii kubwa hii. Unajikuta umekuwa porn star ghafla.
Hii comment yako inachekesha alafu inahuzunisha 🤣🤣🤣😥😥
Uzoefu gani wakati wanapiga chabo tu!Unawapatia uzoefu
Ndiyo tulichofanya, japo huyu mama mwenye nyumba anasema hahusiki (nimemuamini) ila ni nyumba yake so yupo responsible na usalama wa wageni.Kama wanafanya huo uhuni ni kuwashitaki tu.
Ina storage kiasi gani hiyo?Tumegundua uwepo wa camera iliyofichwa kwa siri kwenye bafu la nyumba ambayo tumefikia. Mwenye nyumba anasema si yeye aliyeweka 😔, kama ni kweli basi kuna uwezekano kwamba mgeni mwingine aliyepangisha hii nyumba siku za nyuma ndiyo amefanya hivyo.
Kwa wamiliki wa Airbnb, tafadhali fanya camera sweep (ukaguzi wa kina) kila baada ya mgeni kuondoka ili kuepusha matatizo kwako na kwa wageni watakaotumia nyumba yako.
Hizi tabia za perverts kuacha camera na vifaa vya kuwarekodi wengine bila idhini yao hasa kwenye sehemu kama bafuni na vyumba vya kulala zimeanza kushamiri.
View attachment 3614523
Ukiwa mgeni hotelini au kwenye airbnb, hakikisha unakagua mahali ulipofikia ili usije ukakuta mambo yako ya sirini yamewekwa live mitandaoni au sehemu nyingine zisizostahili.
Ni tahadhari tu, kila mtu awe makini.
Asubuhi njema!
Inasikitisha sana
Kazi hiyo
porn stars si wanalipwa ?Khaaaa hatariii kubwa hii. Unajikuta umekuwa porn star ghafla.
My assumption ni kwamba ina battery ndogo, ila sina hakika.Ina storage kiasi gani hiyo?
Charge inatoa wapi?
Charge inadumu muda gani?
Nimewasha nimeona green tu hapa.Ukiingia kwenye room kama ni mchana ,shusha mapazia chumba kiwe giza ,kisha washa camera ya simu zungusha chumba kizima ,ukiona kwenye camera kuna red basi jua ni hidden cctv camera hiyo.
Hilo Chapo si wanaona ma style yenu wanapata uzoefuUzoefu gani wakati wanapiga chabo tu!
Dah inahuzunisha
Unanicheka kijana 🤔
Mbona unamuuliza wakati yeye ndio mhanga wa tukio. Hawezi kujua chochote kuhusu hiyo device labda apate mtaalam.Ina storage kiasi gani hiyo?
Charge inatoa wapi?
Charge inadumu muda gani?