Camera za siri kwenye airbnb na kurekodiwa bila idhini yako

Anajua huyo kichaoendelea ,anahusika kwa 100%....Sasa mtu baki afunge hidden camera kwa manufaa gani wakati nyumba si yake?
Anasema wageni walioondoka ndiyo wamefanya hivyo 😩 😩

Polisi watatuambia kama hiyo camera ilikua connected na WiFi, na kama ni hivyo then inawezekana mtu mwingine ambaye si mmiliki wa nyumba akawa ameiweka hapo na ana-upoload hizo recordings directly kwenye cloud server popote duniani.
 
Je nikiweka tangazo mapema ""This apartment has been installed camera for security""hapa vipi yaani taarifa mapema,but not at washroom!..
Airbnb hawaruhusu camera wala kifaa chochote cha kurekodia ndani ya nyumba, ikijulikana umeweka unafutiwa account au kulimwa ban ya maisha.

Unaweza kuweka camera nje ya nyumba kwa ajili ya ulinzi, ila ndani HAPANA!

Na pia watu wengi hawako comfortable kukaa ndani ya nyumba ambayo unarekodiwa kila unachofanya, kila wakati na huna privacy.
 
Toka mwanzo alivyokwambia mtu kaweka ungemuukiza alitoka lini si inatumia betri yani haishi chaji ?
 
Ni kweli kabisa
 
Camera nyingine wanaweka wafanyakazi baada ya kutumwa na mabwana zao.
 
Kama haufanyi vitu vya kijinga camera hautakiwi kuiogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…