Camera za siri kwenye airbnb na kurekodiwa bila idhini yako

Wanataka Kuona misinyungu yenu
 
Mnanichanganyi aiseee 😭🥹

Sijawahi kuwa kwenye airbnb lakini “nasikia” hata sisi wazee wa hotel, kwamba hotel rooms zinaweza kuwekwa camera na watu wasiowaaminifu kwa lengo la kukusanya still picture na picha mjongeo. Wengine haipiti miezi miwili hatujaishi hotelini ni balaa hili? 🤣

Again nasikia wanataka za watu muhimu tu, się visebengo wakizipata wanasonya tu hazina kazi.

Ukweli ukoje wadau. 😔
 
Wenye hizo nyumba siyo wajinga wateja wengi ni wezi ndiyo maana wakaona waweke hizo camera mmezidi kutupa hasara watu wanabeba mpaka tv uungwana uko wapi
 
Hiyo camera inapata power wapi?
 
My assumption ni kwamba ina battery ndogo, ila sina hakika.

Tulivyopiga simu polisi walisema tusiiguse hiyo camera so hatujui chochote ila labda watatujulisha wakimaliza kuinvestigate.
Hahahaaa wanaanza kwanza wao kusafisha macho than something follows, kama si kusambaziana minyama, najua mambo kama kupakwa mafuta kukifuta kitumbua, nk hayatokosekana haaaaaa🤣
 
Wanaopenda chabo waendelee kufanya ki-analogia kwa kuchungulia kwenye madirisha ila njia hii ya kuwekeana camera ni mbaya sana, digital file linaweza kusambazwa likamharibia mtu maisha kabisa.
Haswa hivi yule dada wa Dodoma muhasibu ambae connection yake ili vuja akilombwa na mwana alisalimika kazini kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…