Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Wakiristo 65% kwa sensa ipi!?..halafu wapi kwenye waislam wengi wakiristo
mfano mdogo kabisa, hamii zenye watu wengi ni wasukuma, wachaga, wanyakyusa, wamasai, wahaya,, wahehe,... hizo jamii zote watu wengi almost 90% ni wakristo
 
Tafuta Mungu, Jehova, Yahweh, hosanna ni Mungu wa waisrael
Chimbuko la Neno "Allah"


Kwa ujumla: Neno "Allah" ni kifupi cha neno la kiarabu La-ilah, ambalo maana yake ni "mungu". Wakristo wa kiarabu na wapagani walitumia neno Ilah kwa maana ya Mungu. Hata Biblia za kiarabu na kiindonesia leo hii hutumia neno "Allah" kwa maaana ya Mungu. Wakati wa nyuma neno linalofanana na hilo el lilimaanisha "mungu" wa kweli au uongo katika lugha za mashariki ya kati kama kiugariki, kikaanani na kiebrania. Kabla ya Muhammad, kaaba jengo lililotunza sanamu 360 liliitwa Beit-Allah, au "Nyumba ya Allah".


Baba yake Muhammad ambaye alifariki kabla ya Muhammad kuzaliwa, aliitwa Abdullah maana yake, mtumwa wa Mungu. Pia kabila la Wayahudi liliitwa 'Abdullah bin Salam kwenye Bukhari juzuu ya 5 kitabu cha 59 sura ya 13 na. 362 uk.241.

miongoni mwa sanamu/miungu iliyoabudiwa Maka uliitwa "Allah."

Huyu alikuwa mungu maalum wa kabila la Wakureshi naye alikuwa na mabinti watatu maalum. Ukilinganisha na nguzo 4 kati ya 5 za Uislam, watu wa Maka kabla ya Muhammad walifunga kwa pamoja siku moja, walitoa sadaka kwa maskini wao, walisali wakielekeza nyuso zao Maka, na walifanya hija ('Umrah) Maka. Kulikuwa na tofauti nyingi pia, lakini inashangaza kuona muendelezo wa matendo yasiyobadilika yaliyokuwa yakifanyika kwenye ibada za kipagani za kikureshi.
 
Wewe hizo ndio reference zako sio.
Poa usini quote tena maana mimi nilim quote mwingine ukaingilia.

Yaani unapoandika uongo tukuwache tu , hata kama unamjibu mtu ?? hapa ni ukumbini , utajibiwa
 
Mbona sikuelewi katiba ya nchi za kiislamu wapi wamekataa nchi nyingine kuabud, katiba ya nchi inasema watu wajistri nyie hamtaki mnataka kutembea uchi ila wapi umekatazwa kuabudu..?



2.Saudi Arabia hakuna makanisa? Tangu lin ? Ebu tembea upate kuelewa sio kutunga kwa maneno ya mtaani 🤣🤣

3.Nyerere ndio kaleta ukatoliki hapa Tanganyika ndio maana mnamuenzi kanisani kweny siku ya kifo chake.
 
Wewe hangaika,lakini ukilala Leo utafute Mungu,usidandie Mungu wa wayahudi
 


ndio umeweka reference hapo ?? Unakashifu dini za watu kwa kuweka uwongo halafu uwachwe

Christianity​


The Christian Arabs of today have no other word for "God" than "Allah".[55]

Similarly, the Aramaic word for "God" in the language of Assyrian Christians is ʼĔlāhā, or Alaha.

(Even the Arabic-descended Maltese language of Malta, whose population is almost entirely Catholic, uses Alla for "God".) . ----- source wikipedia

Yaani Bwana yesu Lugha yake aliyokuwa akiongea ni Aramaic na lugha hiyo Mungu jina lake ni Allah wala sio Jesus wala JEHOVA
 
mfano mdogo kabisa, hamii zenye watu wengi ni wasukuma, wachaga, wanyakyusa, wamasai, wahaya,, wahehe,... hizo jamii zote watu wengi almost 90% ni wakristo
Acha uwongo wewe, wasukuma zaidi ya 60% wapagani,sambamba na wamasai,Mimi msukuma na babu yangu alikua mpagan,tumechimba shimo mbele ya nyumba tumezika,hiyo ni 2020 aliishi karibu kabisa na mji na Mimi mjukuu wake muislam,Tena wasukuma wanapenda uislam kwa kuwa unaruhusu kuoa wake wengi,hao wamasai hata ukiwadaka hapa mjini ni bado wapagani,sehemu ambayo Ina wakiristo wengi huku waislam wakiwa wachache ni mbeya,lakini hata bado wasafwa wengi wao waislam na wanyakyusa waislam wapo,ukitoa hapo mikoa mingine Kuna idadi ya kutosha tu ya waislam
 
"Angola 'bans' Islam, Muslims, becomes first country to do so - India Today" Angola 'bans' Islam, Muslims, becomes first country to do so
 
Hii inatakiwa uwe Uzi unaojitegemea kabisa,Asante sana
 
Reactions: 511
ww mtu wa bara na uislam wapi na wapi. unaningusha ngosha. wacha hiyo mambo ya waarabu. karibu meru nikupe dada yangu lizuri kwelikweli anawapenda sana wasukuma sijui mulimfanya nini. kakataa mchumba wa kikurya na hata mmeru mwenzake eti anataka msukuma sijui ndio walimtoa bikra 😬
 
Tunatwanga ileile,changa Tako usiku kucha hakuna kuchoka
 
Kuwa Muslim inabidi akili yako iwe imenesa kdg ama uwe na chembechembe ya Roho mbaya vinginevyo hutoboi
 
Reactions: 511
Nimetembea mikoa ya nyanda za juu kusini,Kuna vijiji vingi neno msikiti wanaujua wanaosoma tena wanauona kwenye alama za kujifunzia.
 
1. Nani katembea uchi au hujui maana ya mtu kuwa uchi, sisi waafrika hatuna muda wa kuiga uvaaji wa kiarabu kwani sio utamaduni wetu.

2. Saudi Arabia kuna kanisa gani tuambie liko sehemu gani katika nchi hiyo.

3. Nyerere ndio mmishenari aliyeleta ukatoliki Tanganyika..!! Unajua hata unachoongea wewe na unafahamu ukatoliki uliingia Tanganyika lini.

Huna maana kabisa na una akili za kitoto sana, sidhani kama una elimu ya maana hapo ulipo.
 
Umeshajua mtu ni mlugaluga halafu unaanzisha timbwili la nini?Muanzishie akunyooshe.Lunch yao siyo maandazi mawili kwa chilisosi!Utapewa mfueni ujilize.
Aisee, Mimi msomali natembea na zombie knife kiunoni, yakanyage tu nikutimbwili!
Na kweli tunakula wali na tambi, lakini roho ya kinyama kinoma
 
Nimetembea mikoa ya nyanda za juu kusini,Kuna vijiji vingi neno msikiti wanaujua wanaosoma tena wanauona kwenye alama za kujifunzia.
Nyanda za juu kusini unamaanisha iringa,mbeya na rukwa ya zamani,iringi uislam upo kitambo,mkwawa alikua muislam,mbeya kocha juma mwambusi ni muislam, hassy kitine anatoka iringa ndani huko ni muislam,we unazungumzia nyanda za juu kusini gani!?
 

Umekatazwa kuzini ila ukioa inakua tendo la ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…