Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

𝗛𝗮𝘁𝗮 𝗺𝘁𝗼𝘁𝗼 𝘄𝗮 𝗖𝗵𝗲𝗸𝗲𝗰𝗵𝗲𝗮 𝗵𝗮𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗸𝘂𝗷𝗲𝗻𝗴𝗮 𝗵𝗼𝗷𝗮 𝘆𝗮 𝗸𝗶𝗷𝗶𝗻𝗴𝗮 𝗻𝗮𝗺𝗻𝗮 𝗵𝗶𝗶. ☹️
 
ulitaka ajenge hoja vipi na huo ndio ukweli ? au hujaona vyombo vya habari vya west vinavyoukandia uislamu na waislamu ??
 
ulitaka ajenge hoja vipi na huo ndio ukweli ? au hujaona vyombo vya habari vya west vinavyoukandia uislamu na waislamu
𝗦𝗶𝗷𝗮𝗼𝗻𝗮 𝗻𝗶𝘄𝗲𝗸𝗲𝗲 𝘂𝘀𝗵𝗮𝗵𝗶𝗱𝗶.
 
Unaehamisha mada ni wewe , nimekuwekea link hapo uone mwenyewe hizo nchi unazoziona zina furaha , mbona ndizo zinaongoza kwa watu kujiua au kiengereza hukifahamu ??

Ndiyo furaha zikizidi watu hujiua ??
sawa mkuu
 
Niliwahi kumskia shekh mmoja wa mtaa akisema. Wakristo ni halali kuchangia ujenzi wa misikiti. Ila waislam ni kufuru kuchangia ujenzi wa kanisa. Nikachoka sababu ni kwamba ukristo zama zake zilishaisha saivi ni zama za uislam.
 
Reactions: 511
Unauelewa mdogo sana wa historia
Uingereza ametawala saudi arabia kama koloni lake hata mipaka ya saudi arabia wazungu ndo waliichora unasemaje hawakutawala
 
Unaehamisha mada ni wewe , nimekuwekea link hapo uone mwenyewe hizo nchi unazoziona zina furaha , mbona ndizo zinaongoza kwa watu kujiua au kiengereza hukifahamu ??

Ndiyo furaha zikizidi watu hujiua ??
Hajielewi huyo
low minded person
 
Kwa wazazi wangu nimetoka. Na wazazi wangu nimewaona. Na sijawahi kumuona Mungu.
Yesu kasema mwenyewe ametoka kwa Mungu na hivyo amemuona Mungu. Kipi hakieleweki?
Kwanini waislamu hawapendi mkristo akisema Yesu ni Mungu na alikufa msalabani ni mambo ambayo hayawahusu ila yanawaumiza sana
 
HAkuna muislamu anayetumia biblia ila wewe unatumia biblia
Umeamua kuacha quran sababu hujui kiarabu sasa unatumua biblia hiki ni kituko

Unaenda hadi kinyume na Allah ambaye alishusha quran kupitia muhammad
Unatatizo kubwa sana la kifikra

Ushauri wangu jifunze kiarabu ili ukisoma quran na hadith usiwe unakariri na usitumie vitabu ambavyo waislamu hawatumii kama biblia unaaibisha sana muislamu kutumia biblia badala ya quran
 
Unauelewa mdogo sana wa historia
Uingereza ametawala saudi arabia kama koloni lake hata mipaka ya saudi arabia wazungu ndo waliichora unasemaje hawakutawala
Kama una uhakika leta hapa , Uingereza hakuwahi kutawala saudi arabia tafuta watoto wadogo uwadanganye Saudi ilikuwa sehemu ya ottoman Empire.

Sema huelewi ulichosoma 🤣🤣

Umesoma shule gani au kilaza?
 
Kwa sababu nyinyi hamjui kutawala hamna uadilifu.
 
Hawajiamini, mungu wao hana nguvu
Mungu wenu ana nguvu

Itakuwa unatumia biblia ya Queen james Version, usipate wivu mimi siitumii biblia hiyo usilile bure
 
Mungu wenu ana nguvu

Itakuwa unatumia biblia ya Queen james Version, usipate wivu mimi siitumii biblia hiyo usilile bure
Muislamu unatumia biblia aiseee ndo nimeona kwako
Comment zako zote unatumia reference ya mistari ya biblia

Unasema Mungu wa wakristo hana nguvu ila uko bize na kitabu chake biblia
 
Kama una uhakika leta hapa , Uingereza hakuwahi kutawala saudi arabia tafuta watoto wadogo uwadanganye Saudi ilikuwa sehemu ya ottoman Empire.

Sema huelewi ulichosoma 🤣🤣

Umesoma shule gani au kilaza?View attachment 2912115
Protectorate maana aliitawala hata Tanzania ilikua protectorate ya uingereza
Kuna aina mbili za macolony kama ulikua hujui
1-setler
2-protectorate

Hejaz ilikua ni kingdom inayojitegemea tofauti na riyadh, muingereza alimpa al saud nchi nzima mpaka Uingereza aliitawala na mipaka ya hii saudi arabia yeye ndo aliyeichora
 
Protectorate maana aliitawala hata Tanzania ilikua protectorate ya uingereza

Hejaz ilikua ni kingdom inayojitegemea tofauti na riyadh, muingereza alimpa al saud nchi nzima mpaka Uingereza aliitawala na mipaka ya hii saudi arabia yeye ndo aliyeichora
Haijawahi kuwa colony ,ilikuwa chini ya ottomon baadae ilikuja kuwa kama nchi ,saudia kama saudi labda useme new colonialism ila sio kuwa colony kabisa la muingereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…