Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Kuhusu mada iliyopo mezani...
Chanzo cha msingi cha Chuki ya Waislam juu ya Wakristo ni zile Nchi zinazojiona Taifa la kwanza
wanaojengea Chuki wananchi wa Nchi za Kiislam na pengine kuzipiga Nchi zenye Waislam wengi/za Kiarabu kwa sababu dhaifu za kuunga unga.
Nchi hizo za ulimwengu wa juu zimekuwa zinajenga chuki juu ya Waislam pamoja na kupeleka mamluki wa kuzichonganisha ili Vita ianze na wao kutoa silaha kwa kundi moja wapo ili tu kudhoofisha Dola ya kiislam....wakati hayo yakitokea kumekuwa na baadhi ya Wakristo au niseme kundi kubwa la Wakristo kwa kujua au kutokujua hufurahia sana kinacho endelea katika Nchi hizo zenye Waislam wengi
Matokeo yake, baadhi ya Waislam hushindwa kujizuia hisia zao na hivyo kupelekea uhasama unaaendelea Duniani kwa sasa......
𝗛𝗮𝘁𝗮 𝗺𝘁𝗼𝘁𝗼 𝘄𝗮 𝗖𝗵𝗲𝗸𝗲𝗰𝗵𝗲𝗮 𝗵𝗮𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗸𝘂𝗷𝗲𝗻𝗴𝗮 𝗵𝗼𝗷𝗮 𝘆𝗮 𝗸𝗶𝗷𝗶𝗻𝗴𝗮 𝗻𝗮𝗺𝗻𝗮 𝗵𝗶𝗶. ☹️
 
𝗛𝗮𝘁𝗮 𝗺𝘁𝗼𝘁𝗼 𝘄𝗮 𝗖𝗵𝗲𝗸𝗲𝗰𝗵𝗲𝗮 𝗵𝗮𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗸𝘂𝗷𝗲𝗻𝗴𝗮 𝗵𝗼𝗷𝗮 𝘆𝗮 𝗸𝗶𝗷𝗶𝗻𝗴𝗮 𝗻𝗮𝗺𝗻𝗮 𝗵𝗶𝗶. ☹️
ulitaka ajenge hoja vipi na huo ndio ukweli ? au hujaona vyombo vya habari vya west vinavyoukandia uislamu na waislamu ??
 
ulitaka ajenge hoja vipi na huo ndio ukweli ? au hujaona vyombo vya habari vya west vinavyoukandia uislamu na waislamu
𝗦𝗶𝗷𝗮𝗼𝗻𝗮 𝗻𝗶𝘄𝗲𝗸𝗲𝗲 𝘂𝘀𝗵𝗮𝗵𝗶𝗱𝗶.
 
Unaehamisha mada ni wewe , nimekuwekea link hapo uone mwenyewe hizo nchi unazoziona zina furaha , mbona ndizo zinaongoza kwa watu kujiua au kiengereza hukifahamu ??

Ndiyo furaha zikizidi watu hujiua ??
sawa mkuu
 
392d3b93e09faef0c7a11db2d64c1b00.jpg
 
Niliwahi kumskia shekh mmoja wa mtaa akisema. Wakristo ni halali kuchangia ujenzi wa misikiti. Ila waislam ni kufuru kuchangia ujenzi wa kanisa. Nikachoka sababu ni kwamba ukristo zama zake zilishaisha saivi ni zama za uislam.
 
  • Thanks
Reactions: 511
1.kutembea uchi unaelewa maana yake au unaropoka basi mwambie mama ake aonyeshe hata matiti yake nje au maungo yake,hata hiyo dini yako hairuhsu mabango yapo makanisa kibao tatizo ni nyie kushika mila za wazungu wakati yesu hakuwa mzungu.

2.Saudi wakristo wapo tena kibao ,kanisa hakuna kutokana na wenyewe kule mnaenda kibiashara na sio kujenga pia saudi sio yote baadhi ya miji ni waislamu tupu sasa kanisa la nn😅😅?

Chanzo cha makanisa Africa ni ukoloni ndio uliacha makanisa kule saudi hamkuwahi kutawala hilo kanisa litafika lin, hapo zenji mlitawala ndio maana kuna makanisa kongwe.

3.Nyerer ndio agent wa ukatoliki tena Africa Mashariki pamoja na kina Obotte ,bila ya Nyerere nyie 😅😅msingekuwepo
Unauelewa mdogo sana wa historia
Uingereza ametawala saudi arabia kama koloni lake hata mipaka ya saudi arabia wazungu ndo waliichora unasemaje hawakutawala
 
Unaehamisha mada ni wewe , nimekuwekea link hapo uone mwenyewe hizo nchi unazoziona zina furaha , mbona ndizo zinaongoza kwa watu kujiua au kiengereza hukifahamu ??

Ndiyo furaha zikizidi watu hujiua ??
Hajielewi huyo
low minded person
 
Kwa wazazi wangu nimetoka. Na wazazi wangu nimewaona. Na sijawahi kumuona Mungu.
Yesu kasema mwenyewe ametoka kwa Mungu na hivyo amemuona Mungu. Kipi hakieleweki?
Kwanini waislamu hawapendi mkristo akisema Yesu ni Mungu na alikufa msalabani ni mambo ambayo hayawahusu ila yanawaumiza sana
 
Hayo ni maneno ya yohana aliyemnukuu Yesu , na umefanya yale yale kunukuu sehemu ya maneno tu , kumbe nyani haoni ....

chungulia na maneno haya, kayasema nani ?+

Yohana 5:37 SRUV​

Naye Baba aliyenituma amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wowote, wala sura yake hamkuiona.
HAkuna muislamu anayetumia biblia ila wewe unatumia biblia
Umeamua kuacha quran sababu hujui kiarabu sasa unatumua biblia hiki ni kituko

Unaenda hadi kinyume na Allah ambaye alishusha quran kupitia muhammad
Unatatizo kubwa sana la kifikra

Ushauri wangu jifunze kiarabu ili ukisoma quran na hadith usiwe unakariri na usitumie vitabu ambavyo waislamu hawatumii kama biblia unaaibisha sana muislamu kutumia biblia badala ya quran
 
Unauelewa mdogo sana wa historia
Uingereza ametawala saudi arabia kama koloni lake hata mipaka ya saudi arabia wazungu ndo waliichora unasemaje hawakutawala
Kama una uhakika leta hapa , Uingereza hakuwahi kutawala saudi arabia tafuta watoto wadogo uwadanganye Saudi ilikuwa sehemu ya ottoman Empire.

Sema huelewi ulichosoma 🤣🤣

Umesoma shule gani au kilaza?
Screenshot_20240222-130253.png
 
Uzi huu sio tuhuma au tetesi, ni uhalisia wenye shahidi / evidence za kutosha

Kwa lugha nyepesi, Ni kwanini nchi ikijaa wakristo huwa kuna uhuru wa kiimani kwa waislam lakini ikiwa kinyume kunakuwa hakuna tolerance kwa ukristo ?

Nchi inaweza kuwa majority wakristo lakini waislam wakapewa uhuru wa kiimani kuanzia kujenga misikiti bila figisu, kuweka spika za adhana, kuvaa hijab, kufunga barabara wakisali, n.k.

mifano tunaweza kuzitizama nchi jirani Ghana na Nigeria, kwa upande wa Ghana wakristo ni wengi 71% lakini imani za waislam zinaheshimiwa, wakati huo huo nchi jirani ya Nigeria waislam wapo 53% lakini kumekuwa na matukio ya kuukandamiza ukristo, pia hapa kwetu Tanzania Bara wakristo ni wengi zaidi huku imani za kiislam zikiheshimiwa lakini visiwani Zanzibar kulikojaa waislam hali ni tofauti.



Nchi zilizojaa uislam ni kawaida sana kusikia makanisa yamechomwa, yamebomolewa, n.k. wala sio jambo la kushangaza

Mfano ni hapo Zanzibar mwaka 2022 Kanisa pamoja na makazi ya Mchungaji wake, yalibomolewa kwa kisingizio cha hali ya hewa

View attachment 2909299

Hii ni juzi tu hapo jumamosi iliyopita kanisa la katoliki lilishambuliwa.
View attachment 2909578



Nchi hizi nyingi kikifika kipindi cha mfungo, huwa hakuna kula hadharani, ukikamatwa unaweza kufungwa, kupigwa, n.k. hakuna uhuru kabisa wa kiimani. Cha ajabu ni kwamba wanashindwa kufata sheria zilizoainishwa kwenye Quran kwamba mfungo ni wa watu maalum tu, sio kila mtu inabidi afunge,

Kwa Zanizbar mfungo wa Ramadhani ukikutwa unakula hadharani utapigwa na hata kufungwa rumande wiki kadhaa, Pichani ni wakristo wakipigwa baada ya kukutwa wanakula mchana huko Pemba.

View attachment 2909283

Biashara za pombe zinaminywa sana tena kwa maksudi kabisa, mfano Zanzibar wanaofungua Bar huwa wanafanyiwa figisu za kutosha, sheria ya nchi inakuruhusu lakini itapuuzwa

Huko Nigeria kuna maeneo yana mpaka askari wa kiislam, ukikutwa unauza bia ni tatizo, hapa wanazivunja vunja

View attachment 2909277

Eneo likijaa waislam kuna uwezekano mkubwa watataka watu wa eneo hilo hata wasio waislam wafate sheria za kiislam na ataekiuka wanaona wana haki ya kumuadhibu,

Huyu kakutwa katulia anajinywea zake bia zake huko Zanzibar, wakaanza kumpiga bakora bila kujali kama imani yake inamruhusu kunywa,

View attachment 2909278

taasisi za elimu kama vyuo vya kikristo wala haviingilii uhuru wa wanafunzi wa kislam lakini kwa upande wa vyuo vya kiislam hali ni tofauti, mfano chuo cha kiislam cha Morogoro hairuhusiwi kwa mwanafunzi kutembea au kukaa wawili mwanamke na mwanaume hata kufanya discussion isipokuwa awepo mtu wa tatu, kuna video iliwahi kuvuja ikionyesha watu wazima wa chuo hicho wakidhibiwa kwa viboko.

View attachment 2910122



Nchi kadhaa zimepitisha sharia (sheria kwa mujibu wa uislam) zenye mahakama zake, inatakiwa wote mfuate sharia hata kama si muumini wa dini ya kiislam, Mfano nchi kama Malaysia, Ukiwa mwislam ukitaka kuhama dini inabidi utoe maelezo ya kina kwenye mahakama ya kiislam kisha usubiri uamuzi wao kama utakubaliwa
Kwa sababu nyinyi hamjui kutawala hamna uadilifu.
 
Hawajiamini, mungu wao hana nguvu
Mungu wenu ana nguvu
HAkuna muislamu anayetumia biblia ila wewe unatumia biblia
Umeamua kuacha quran sababu hujui kiarabu sasa unatumua biblia hiki ni kituko

Unaenda hadi kinyume na Allah ambaye alishusha quran kupitia muhammad
Unatatizo kubwa sana la kifikra

Ushauri wangu jifunze kiarabu ili ukisoma quran na hadith usiwe unakariri na usitumie vitabu ambavyo waislamu hawatumii kama biblia unaaibisha sana muislamu kutumia biblia badala ya quran

Itakuwa unatumia biblia ya Queen james Version, usipate wivu mimi siitumii biblia hiyo usilile bure
 
Mungu wenu ana nguvu


Itakuwa unatumia biblia ya Queen james Version, usipate wivu mimi siitumii biblia hiyo usilile bure
Muislamu unatumia biblia aiseee ndo nimeona kwako
Comment zako zote unatumia reference ya mistari ya biblia

Unasema Mungu wa wakristo hana nguvu ila uko bize na kitabu chake biblia
 
Kama una uhakika leta hapa , Uingereza hakuwahi kutawala saudi arabia tafuta watoto wadogo uwadanganye Saudi ilikuwa sehemu ya ottoman Empire.

Sema huelewi ulichosoma 🤣🤣

Umesoma shule gani au kilaza?View attachment 2912115
Protectorate maana aliitawala hata Tanzania ilikua protectorate ya uingereza
Kuna aina mbili za macolony kama ulikua hujui
1-setler
2-protectorate

Hejaz ilikua ni kingdom inayojitegemea tofauti na riyadh, muingereza alimpa al saud nchi nzima mpaka Uingereza aliitawala na mipaka ya hii saudi arabia yeye ndo aliyeichora
 
Protectorate maana aliitawala hata Tanzania ilikua protectorate ya uingereza

Hejaz ilikua ni kingdom inayojitegemea tofauti na riyadh, muingereza alimpa al saud nchi nzima mpaka Uingereza aliitawala na mipaka ya hii saudi arabia yeye ndo aliyeichora
Haijawahi kuwa colony ,ilikuwa chini ya ottomon baadae ilikuja kuwa kama nchi ,saudia kama saudi labda useme new colonialism ila sio kuwa colony kabisa la muingereza.
 
Back
Top Bottom