Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

tatizo la ndugu zetu ni ELIMU ninaposema hivyo elimu ina mapana yake ukitizama hata mafundisho yao basi unajua elimu ndio shida...... ila tuwaache waemdelee cha msingi tusiwabughudhi ndugu zetu katika imani😂😂
 
unaona mnavyo unga unga data?
Wakristo sio wengi Duniani kama unavyofikiri.
Kuna mmoja alikuja hapa akifikiri Mataifa yenye nguvu Duniani yanaongoza kwa wakristo; kupewa data akabaki mdomo wazi
Ukifuatilia hata huko Israel ndio utashangaa; hakuna wakristo huko sijui ndio wanakaribia 2%

Jikite kwanza kwenye mada,je kwanini wavaa kobazi hawana religion tolerance.?
 
Source yako?

Tanzania mkithubutu kufanya sensa ya dini mtaonyesha wapi sura zenu enyi msiokua waislamu! Mbona mliikwepa sensa mlijua waislamu ni wengi zaidi ya UPAGANI sioI! Kwa tathmini ya haraka Waislamu ni wengi sio chini ya asilimia 70.

Dar[emoji117]The largest religion in Dar es Salaam is Islam, comprising around 70% of its total population.
Bagamoyo na pwani yote kwa ujumla
Lindi, Kilwa, mafia kote huko walikopita Uisilamu umesambaa, ukija jiji la tanga, singida, tabora, kigoma, bukoba, na hata kanda ya ziwa Uisilamu unazidi kung'ara kila kukicha.

Zanzibar [emoji117]About 99 percent of the population in Zanzibar is Muslim.

Mikoa ambayo haina waislamu wengi labda ni Mbeya na Mara kidogo.

So, endeleeni tu kujipa moyo.

Takwimu kutoka madrasa ya hapo paje nadhani tqnzania huijui
 
Pamoja na kuwa sikusudii kubadilisha mada yako
Naomba unitajie Nchi walau 5 zenye Wakristo kwa asilimia 90 (hata sio hiyo 99% uliyo iliyotaja) kwani nikisema 99% unaweza ukaambulia sifuri
Mkuu Latin American countries unazijua wewe? Uwe unafanya utafiti. Hapo bado baadhi ya European countries.
 
Uzi huu sio tuhuma au tetesi, ni uhalisia wenye shahidi / evidence za kutosha

Kwa lugha nyepesi, Ni kwanini nchi ikijaa wakristo huwa kuna uhuru wa kiimani kwa waislam lakini ikiwa kinyume kunakuwa hakuna tolerance kwa ukristo ?

Nchi inaweza kuwa majority wakristo lakini waislam wakapewa uhuru wa kiimani kuanzia kujenga misikiti bila figisu, kuweka spika za adhana, kuvaa hijab, kufunga barabara wakisali, n.k.

mifano tunaweza kuzitizama nchi jirani Ghana na Nigeria, kwa upande wa Ghana wakristo ni wengi imani za waislam, zinaheshimiwa lakini nchi jirani ya Nigeria waislam wapo 53% lakini kumekuwa na matukio ya kuukandamiza ukristo, pia hapa kwetu Tanzania Bara wakristo ni wengi zaidi huku imani za kiislam zikishimiwa lakini hapo jirani Zanzibar hali ni tofauti



Nchi zilizojaa uislam ni kawaida sana kusikia makanisa yamechomwa, yamebomolewa, n.k. wala sio jambo la kushangaza

Mfano ni hapo Zanzibar mwaka 2022 Kanisa pamoja na makazi ya Mchungaji wake, yalibomolewa kwa kisingizio cha hali ya hewa

View attachment 2909299

Hii ni juzi tu hapo jumamosi iliyopita kanisa la katoliki lilishambuliwa.
View attachment 2909578



Nchi hizi nyingi kikifika kipindi cha mfungo, huwa hakuna kula hadharani, ukikamatwa unaweza kufungwa, kupigwa, n.k. hakuna uhuru kabisa wa kiimani. Cha ajabu ni kwamba wanashindwa kufata sheria zilizoainishwa kwenye Quran kwamba mfungo ni wa watu maalum tu, sio kila mtu inabidi afunge,

Kwa Zanizbar mfungo wa Ramadhani ukikutwa unakula hadharani utapigwa na hata kufungwa rumande wiki kadhaa, Pichani ni wakristo wakipigwa baada ya kukutwa wanakula mchana huko Pemba.

View attachment 2909283

Biashara za pombe zinaminywa sana tena kwa maksudi kabisa, mfano Zanzibar wanaofungua Bar huwa wanafanyiwa figisu za kutosha, sheria ya nchi inakuruhusu lakini itapuuzwa

Huko Nigeria kuna maeneo yana mpaka askari wa kiislam, ukikutwa unauza bia ni tatizo, hapa wanazivunja vunja

View attachment 2909277

Eneo likijaa waislam kuna uwezekano mkubwa watataka watu wa eneo hilo hata wasio waislam wafate sheria za kiislam na ataekiuka wananona wana haki ya kumuadhibu,

Huyu kakutwa katulia anajinywea zake bia zake huko Zanzibar, wakaanza kumpiga bakora bila kujali kama imani yake inamruhusu kunywa,

View attachment 2909278

Nchi kadhaa zimepitisha sharia (sheria kwa mujibu wa uislam) zenye mahakama zake, inatakiwa wote mfuate sharia hata kama si muumini wa dini ya kiislam,

Mfano nchi kama Malaysia, Ukiwa mwislam ukitaka kuhama dini inabidi utoe maelezo ya kina kwenye mahakama ya kiislam kisha usubiri uamuzi wao kama utakubaliwa
Sisi tupo hivyo tu na bado tutahakikisha hamkai kwa amani popote pale duniani tunapoweza. Ni kuwapiga vita tu nyie makafir. Nyie mnajifanya mna ustaarabu sijui mnaheshimu imani za wengine. Hayo hayatuhusu. Sisi tutawakata vichwa, tutawalipua na mabomu mpaka wote msilimu.
 
This is a broad question with limitless boundaries. Islam in itself is not monolithic and could not find internal harmony. Since the death of Mohammed S.A.W, Moslems have been on each other's throats fighting brutal wars over petty doctrinal differences and control of the caliphate, how do you expect such people to have harmony with non-moslems ?

Both Sunnis and Shiites claim to worship Allah, yet they cannot stand the sight of each other or stay under the same roof peacefully. You ask Sunnis, they'll tell you Shiites are heretics who deserve nothing short of death by the sword, and vice-versa is true for Shiites.

Islam needs to shed away the cocoon of Medievalism and evolve, just like Judaism, Catholicism and Protestantism, which were brutal cults that caused death, destruction, misery and suffering all over the world claiming doctrinal and church authority over other religious sects. If you ask me, I will tell you that Catholics are the nastiest, vile and wretched religious fanatics to ever crawled out of the mud, they're worse than Moslems, but time and unfavourable circumstances made them adapt to modernity.

Islam is still stuck in the 7th Century, with some fanatics flirting with revanchist dreams of bringing back the Bloody Caliphate which would bring wreck mayhem against the multitude of Godless kaffirs around the globe. And if it wasn't for major powers like America, Britain, Russia and China who help keep the eagles at Bay, Moslems would have embarked on a Bloody Rampage of forcible conversions and genocide, just like The Ottoman Turks did to Armenian Christians during WWI.​
Uko vizur sana mkuu.
 
Umeanza na mji, na wakati umeambiwa utaje Nchi, au hujui maana ya neno City?
By the way robo tatu ya ulivyo taja ni visiwa vingine vidogo kuliko Zanzibar au niseme vidogo kama Wilaya moja ya Tanzania
Unashindwa kutetea hoja yako unaanza visingizio vingine,huna base yoyote ya hoja yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So ktk situation hii ipi nuru lipi giza?

Ikiwa giza ni Ukristo au chochote kile ambacho siyo cha kiislam kwanini hivi havionyeshwi kama chanzo cha kupinga/kunyanyasa waislam?badala yake hili giza ndiyo lina-balance mambo?

Amma ikiwa nuru ni uislam,kwanini always inafanya mambo kinyume nyume?kuwaje nuru ibague?iache nyuso za simanzi kwa wasioamini?au misamiati “nuru na giza” kwenye uislam ina maana tofauti?kwamba giza ni mambo mazuri nuru ni mambo mabaya?may be who knows!
labda huelewi unachoandika.Ni wapi uislam Kama Nuru umekuwa kinyume? labda nikuulize kwann Askari huacha nyuso za simanzi kwa majambazi?
 
Wanampiga jamaa kisa kalewa huku usiku wanaenda kufirwa. Mapuuzi kabisa. Kwanza quran haijakataza pombe.

Kama kuna kifungu quran imekataza pombe, mtuwekee hapa. Huyo Mungu anayewakataza pombe mkiea na miili ya nyama huku ahera kawahaidi mito ya pombe atakuwa mungu mwehu.
Wanampiga jamaa kwa sababu wanamuonea wivu..... Kwasababu mungu wao kawaahidi watakuta mito ya pombe huko mbinguni hivyo watalewa hadi wachakae.... Kwahiyo wakimuona mtu anajinywea zake wanachafukwa... Wanahisi kule pepo yao liter zinapungua...
 
Wanampiga jamaa kwa sababu wanamuonea wivu..... Kwasababu mungu wao kawaahidi watakuta mito ya pombe huko mbinguni hivyo watalewa hadi wachakae.... Kwahiyo wakimuona mtu anajinywea zake wanachafukwa... Wanahisi kule pepo yao liter zinapungua...
Wanamuonea wivu kisa pombe? Are you serious! Pombe ya peponi utaifananisha na hiyo takataka duniani ukinywa unarukwa akili
 
labda huelewi unachoandika.Ni wapi uislam Kama Nuru umekuwa kinyume? labda nikuulize kwann Askari huacha nyuso za simanzi kwa majambazi?
Hapo Nigeria usiku wa Christmas 2023 waliacha nuru eti???soma hapa ona namna waumini watukufu wa dini tukufu ya kiislam walivyoacha nuru ya uislam kwa hizo familia

Mnafurahisha,nadhani mnachukulia misamiati tofauti kwa sababu hata mnavyosoma hiko kitabu chenu mnakisoma tofauti that's why always mmekuwa na matendo ya kishenzi na ya hovyo bila kujitambua.
 
Back
Top Bottom