Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Wacha kudanganya , hakuna kabila la Abdulla bin salaam wala hakuna sanamu iliyoitwa Makkah sijui umechukua kanisani kwenu ??
Angalau usome kwanza usikurupuke kujibu hata kisichosemwa.
 
Wanampiga jamaa kisa kalewa huku usiku wanaenda kufirwa. Mapuuzi kabisa. Kwanza quran haijakataza pombe.

Kama kuna kifungu quran imekataza pombe, mtuwekee hapa. Huyo Mungu anayewakataza pombe mkiea na miili ya nyama huku ahera kawahaidi mito ya pombe atakuwa mungu mwehu.
Wewe endelea tu kutumia zile dawa zako za huo ugonjwa wako wa akili ukiziwacha utarudishwa tena Mirembe pole sana
 
Ni ujinga tu waislamu wa huku Buza. Nimetembea Senegal ina 95% Waislamu lakini hawana hizi ushamba kwanza za kuwa na sigida usoni, kunyanyasa Wakristu hata kuwabagua. Ni hawa wa huku kwetu tu akina Ponda ndiyo wana mambo ya kindezi
Ujinga pia ni ugonjwa wahi haraka hospitali ukatibiwe pole sana
 
Kwa hiyo mkristo akiwa anakula kakitimoto kake hapo wewe muislam unachukia
Kwa nini mnakosa uvumilivu? Na uvumilivu ni ishara ya upendo
😅 Tunatofautiana katika mapokezi (kuelewa elimu) . Waislamu hatuli hiyo lakini haifanyi umkataze mkristo asile yeye ale kwako hakuna mtu ataenda kumzuia

Changamoto iliyopo ni kuwa kuna watu wanapokea mafundisho negative Yani mfano kwasababu yeye hana gari basi anachukia serikali ijenge barabara anaona ni useless. Yaani wengine huchukia kutaka hata wanaokula waondoke ni ngumu kwasababu tumechanganyikana issue iko hivi mkristo anaekula ale kistaarabu azingatie miiko ya mwenzie kwamba huyu hali sio afanye kusudi akapikie mlangoni mwa yule asiyekula.


Na huyu asiyekula afahamu kuwa tumechanganyikana hivyo sitakiwi kuingilia uhuru wa yule anaekula.
 
Acha Uongo uislamu ndio dini inapigwa vita dunia nzima ...Kama unabisha fuatilia documentaries mbalimbali.

China walichoma waislamu na israel mpaka wakina Messi walikuja juu, Benzene na Mesut ozil wamepitia tabu sana huko France ..

Voice ya waislamu huwzi kuzisikia kwa vile zinazibwa na media kubwa ulimwengu ,kama uislamu ingekuwa sio Mungu imeshakufa just imagine nchi kubwa zote ni anti islamic ,hapo South Africa miaka ya nyuma waislamu walipata tabu sana.


Nyerere katesa waislamu hapa nchini .
1. Mbona nchi zote hizo zimeruhusu uhuru wa kuabudu kwenye katiba zao? Na waislam wengi wanakimbilia kwenda kuishi kwenye nchi hizo.?

2. Je nchi kama Saudi Arabia yenye waislam wengi kwa nini wanaogopa kuruhusu ujenzi wa makanisa, wanaogopa nini sasa..?

3. Nyerere alinyanyasaje waislam wakati alitaifisha shule za wakristo ili kuwafanya waislamu wapate elimu kwani hawakuwa na elimu yoyote ya maana ukilinganisha na wakristo na akamfanya Kawawa kuwa waziri mkuu wakati hakuwa kabisa na sifa ya kuwa hata mkuu wa mkoa.

Watu mumekalia lawama tu zisizo na msingi wakati mmebebwa sana katika nchi hii.
 
Ndio maana waislamu hawawezi kukaa na wapumbavu kama nyinyi


Mnauchukia sana uislamu,


Ukijaribu kuangalia comments za humu ndio utaona uhalisia

Kama wakristo wangekua wanauchukia uislamu mbona ingekuwa wazi,shida uislam ni dini dhaifu sana isiyoweza kujisimamia na kujitambua hasa ulimwengu wa sasa ambao ni wa mwingiliano na jamii tofauti tofauti.
 
Uzi huu sio tuhuma au tetesi, ni uhalisia wenye shahidi / evidence za kutosha

Kwa lugha nyepesi, Ni kwanini nchi ikijaa wakristo huwa kuna uhuru wa kiimani kwa waislam lakini ikiwa kinyume kunakuwa hakuna tolerance kwa ukristo ?

Nchi inaweza kuwa majority wakristo lakini waislam wakapewa uhuru wa kiimani kuanzia kujenga misikiti bila figisu, kuweka spika za adhana, kuvaa hijab, kufunga barabara wakisali, n.k.

mifano tunaweza kuzitizama nchi jirani Ghana na Nigeria, kwa upande wa Ghana wakristo ni wengi imani za waislam, zinaheshimiwa lakini nchi jirani ya Nigeria waislam wapo 53% lakini kumekuwa na matukio ya kuukandamiza ukristo, pia hapa kwetu Tanzania Bara wakristo ni wengi zaidi huku imani za kiislam zikishimiwa lakini hapo jirani Zanzibar hali ni tofauti



Nchi zilizojaa uislam ni kawaida sana kusikia makanisa yamechomwa, yamebomolewa, n.k. wala sio jambo la kushangaza

Mfano ni hapo Zanzibar mwaka 2022 Kanisa pamoja na makazi ya Mchungaji wake, yalibomolewa kwa kisingizio cha hali ya hewa

View attachment 2909299

Hii ni juzi tu hapo jumamosi iliyopita kanisa la katoliki lilishambuliwa.
View attachment 2909578



Nchi hizi nyingi kikifika kipindi cha mfungo, huwa hakuna kula hadharani, ukikamatwa unaweza kufungwa, kupigwa, n.k. hakuna uhuru kabisa wa kiimani. Cha ajabu ni kwamba wanashindwa kufata sheria zilizoainishwa kwenye Quran kwamba mfungo ni wa watu maalum tu, sio kila mtu inabidi afunge,

Kwa Zanizbar mfungo wa Ramadhani ukikutwa unakula hadharani utapigwa na hata kufungwa rumande wiki kadhaa, Pichani ni wakristo wakipigwa baada ya kukutwa wanakula mchana huko Pemba.

View attachment 2909283

Biashara za pombe zinaminywa sana tena kwa maksudi kabisa, mfano Zanzibar wanaofungua Bar huwa wanafanyiwa figisu za kutosha, sheria ya nchi inakuruhusu lakini itapuuzwa

Huko Nigeria kuna maeneo yana mpaka askari wa kiislam, ukikutwa unauza bia ni tatizo, hapa wanazivunja vunja

View attachment 2909277

Eneo likijaa waislam kuna uwezekano mkubwa watataka watu wa eneo hilo hata wasio waislam wafate sheria za kiislam na ataekiuka wananona wana haki ya kumuadhibu,

Huyu kakutwa katulia anajinywea zake bia zake huko Zanzibar, wakaanza kumpiga bakora bila kujali kama imani yake inamruhusu kunywa,

View attachment 2909278

taasisi za elimu kama vyuo vya kikristo wala haviingilii uhuru wa waislam lakini kwa upande wa vyuo vya kiislam uhuru wa kikristo hauheshimiwi, mfano chuo cha kiislam cha morogor hairuhusiwi kutembea au kukaa wawili mwanamke na mwanaume isipokuwa awepo mtu wa tatu bila hata kujali dini yako, kuna video iliwahi kuvuja watu wazima wapo chuoni wana adhibiwa kwa viboko.

View attachment 2910122



Nchi kadhaa zimepitisha sharia (sheria kwa mujibu wa uislam) zenye mahakama zake, inatakiwa wote mfuate sharia hata kama si muumini wa dini ya kiislam, Mfano nchi kama Malaysia, Ukiwa mwislam ukitaka kuhama dini inabidi utoe maelezo ya kina kwenye mahakama ya kiislam kisha usubiri uamuzi wao kama utakubaliwa
Ukikubali coexistence maana yake umekubali Mungu wako inawezekana si Mungu wa kweli.

Ukiamini kabisa Mungu wako ndiye wa kweli, hutakiwi kukubali coexistence na watu wasioamini Mungu wako.

Coexistence na nani sasa? Na shetani?
 
Kweli mkuu!! Hata hizo adhana zipo lakini siyo kwa makelele kama ya hapa Magomeni Dar es Salaam.

Pili hakuna Waislamu wanabaki misikitini kusubiri sala inayofuata. Wanaswsli wanaondoka. Lakini wa huku Buza kwetu unakuta mtu kukicha tu yuko msikitini, akiswali swala ya kwanza anasubiri ya saa 7 hapo hapo. Misikiti inageuka kuwa vijiwe vya majungu na kupanga siasa kali
Dar ni jiji la waislamu, so unaweza ukahamia Moshi au Mbeya
 
Back
Top Bottom