Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Haijawahi kuwa colony ,ilikuwa chini ya ottomon baadae ilikuja kuwa kama nchi ,saudia kama saudi labda useme new colonialism ila sio kuwa colony kabisa la muingereza.

Waingereza hawajawahi kuitawala Saudia Arabia kama koloni lao.

Saudi Arabia ilikuwa ikitawaliwa hasa na viongozi wa kikabila kutoka sehemu mbalimbali. Katika karne ya 16, Milki ya Ottoman ilipata udhibiti wa sehemu kubwa ya Saudi Arabia, na ilibaki madarakani hadi mwaka wa 1918.

Wakati wa Milki hii, familia ya kifalme ya Saudi ilianza kupigania udhibiti wa nchi hiyo. Katika harakati hizo, Uingereza nayo ilikuwa ikipigana dhidi ya Milki ya Ottoman. Ili kudhoofisha Milki hiyo, Uingereza iliunga mkono uasi wa Kiarabu. Mwishoni mwa vita, Milki ilipoteza udhibiti wa Saudi Arabia, na kuacha nyuma dola ya Kiarabu

Uingereza ilitawala mataifa ya ghuba kama vile Kuwait, Bahrain, Qatar, Falme za Kiarabu na pia Yemen Kusini inayojulikana kama Aden, Jordan, Palestina na Iraq.

Lakini Saudi Arabia haijawahi kukaliwa na Waingereza, LAKINI walikuwa na mkataba uitwao mkataba wa Darin mwaka wa 1915.
 
Sasa ndio maana nashangaa wakato saudi ni nchi ya juzi hapa hata kihistoria ni nchi ya kuunga unga hana historia ndefu sana ...Kuna historia ya baadhi ya miji pia ilikuwa na jina lake huko nyuma .
 
  • Thanks
Reactions: 511
Protectorate maana aliitawala hata Tanzania ilikua protectorate ya uingereza
Kuna aina mbili za macolony kama ulikua hujui
1-setler
2-protectorate

Hejaz ilikua ni kingdom inayojitegemea tofauti na riyadh, muingereza alimpa al saud nchi nzima mpaka Uingereza aliitawala na mipaka ya hii saudi arabia yeye ndo aliyeichora

Tanzania haijawahi kuwa protectorate ya Uingereza.

Tanzania ilikuja baada Nyerere na Tanganyika yake kuivamia Zanzibar 1964 na Tanganyika kubadilishwa jina na Nyerere na kuitwa Tanzania
 
Muislamu unatumia biblia aiseee ndo nimeona kwako
Comment zako zote unatumia reference ya mistari ya biblia

Unasema Mungu wa wakristo hana nguvu ila uko bize na kitabu chake biblia

Wapi nilisema Mungu wa wakristo hana nguvu ?? Kwani wakristo halisi ni wa kanisa lipi ??na biblia ipi unaiona ndiyo yenyewe ??
 
Wapi nilisema Mungu wa wakristo hana nguvu ?? Kwani wakristo halisi ni wa kanisa lipi ??na biblia ipi unaiona ndiyo yenyewe ??
Muislamu unayetumua biblia badala ya quran hongera sana
Mtume muhammad alishushiwa quran badala ya biblia
Au umechoka kukariri kiarabu
 
Uzi huu sio tuhuma au tetesi, ni uhalisia wenye shahidi / evidence za kutosha

Kwa lugha nyepesi, Ni kwanini nchi ikijaa wakristo huwa kuna uhuru wa kiimani kwa waislam lakini ikiwa kinyume kunakuwa hakuna tolerance kwa ukristo ?

Nchi inaweza kuwa majority wakristo lakini waislam wakapewa uhuru wa kiimani kuanzia kujenga misikiti bila figisu, kuweka spika za adhana, kuvaa hijab, kufunga barabara wakisali, n.k.

mifano tunaweza kuzitizama nchi jirani Ghana na Nigeria, kwa upande wa Ghana wakristo ni wengi 71% lakini imani za waislam zinaheshimiwa, wakati huo huo nchi jirani ya Nigeria waislam wapo 53% lakini kumekuwa na matukio ya kuukandamiza ukristo, pia hapa kwetu Tanzania Bara wakristo ni wengi zaidi huku imani za kiislam zikiheshimiwa lakini visiwani Zanzibar kulikojaa waislam hali ni tofauti.

Nchi zilizojaa uislam ni kawaida sana kusikia makanisa yamechomwa, yamebomolewa, n.k. wala sio jambo la kushangaza

Mfano ni hapo Zanzibar mwaka 2022 Kanisa pamoja na makazi ya Mchungaji wake, yalibomolewa kwa kisingizio cha hali ya hewa

View attachment 2909299

Hii ni juzi tu hapo jumamosi iliyopita kanisa la katoliki lilishambuliwa.
View attachment 2909578

Nchi hizi nyingi kikifika kipindi cha mfungo, huwa hakuna kula hadharani, ukikamatwa unaweza kufungwa, kupigwa, n.k. hakuna uhuru kabisa wa kiimani. Cha ajabu ni kwamba wanashindwa kufata sheria zilizoainishwa kwenye Quran kwamba mfungo ni wa watu maalum tu, sio kila mtu inabidi afunge,

Kwa Zanizbar mfungo wa Ramadhani ukikutwa unakula hadharani utapigwa na hata kufungwa rumande wiki kadhaa, Pichani ni wakristo wakipigwa baada ya kukutwa wanakula mchana huko Pemba.

View attachment 2909283

Biashara za pombe zinaminywa sana tena kwa maksudi kabisa, mfano Zanzibar wanaofungua Bar huwa wanafanyiwa figisu za kutosha, sheria ya nchi inakuruhusu lakini itapuuzwa

Huko Nigeria kuna maeneo yana mpaka askari wa kiislam, ukikutwa unauza bia ni tatizo, hapa wanazivunja vunja

View attachment 2909277

Eneo likijaa waislam kuna uwezekano mkubwa watataka watu wa eneo hilo hata wasio waislam wafate sheria za kiislam na ataekiuka wanaona wana haki ya kumuadhibu,

Huyu kakutwa katulia anajinywea zake bia zake huko Zanzibar, wakaanza kumpiga bakora bila kujali kama imani yake inamruhusu kunywa,

View attachment 2909278

taasisi za elimu kama vyuo vya kikristo wala haviingilii uhuru wa wanafunzi wa kislam lakini kwa upande wa vyuo vya kiislam hali ni tofauti, mfano chuo cha kiislam cha Morogoro hairuhusiwi kwa mwanafunzi kutembea au kukaa wawili mwanamke na mwanaume hata kufanya discussion isipokuwa awepo mtu wa tatu, kuna video iliwahi kuvuja ikionyesha watu wazima wa chuo hicho wakidhibiwa kwa viboko.

View attachment 2910122

Nchi kadhaa zimepitisha sharia (sheria kwa mujibu wa uislam) zenye mahakama zake, inatakiwa wote mfuate sharia hata kama si muumini wa dini ya kiislam, Mfano nchi kama Malaysia, Ukiwa mwislam ukitaka kuhama dini inabidi utoe maelezo ya kina kwenye mahakama ya kiislam kisha usubiri uamuzi wao kama utakubaliwa
Lete na challenges wanazozipata waislamu katika nchi zisizo za kiislamu i.e nchi za magharibi. Hizi zipo nyingi sana, misrepresentation by media, ubaguzi katika jamii, kuitwa majina mabaya i.e. magaidi, kufungwa na kuuliwa kwa kisingizio cha ugaidi, kutotambuliwa rasmi kwa holidays za kiislamu na ibada zao i.e. hakuna public holiday ya Eid in UK, hakuna haki ya kikatiba ya kupewa haki ya kutekeleza swala muda wa kazi, madhila wanayopata watu kwa kutekeleza dini yao i.e. kuvaa hijabu etc na mifano ni mingi sana!

Hayo yote hapo juu nimekuonyesha mambo ambayo muislamu anapata tabu kwa kujaribu kwake tu kuwa muslamu ndani hizo nchi, wala kufanya hayo hakuvunji misingi ya imani ya raia wengine. Wanateseka kwa wao kuwa waislamu tu!

Sasa twende mbele zaidi, vipi kuhusu madhila wanayopata wasilamu katika nchi zao wenyewe? mara ngapi tumeshuhudia nchi za kiarabu (mostly islamic countries) zikishambuliwa na western countries kwa maslahi tu hao ya westerners i.e. Iraq, Afghanistan, Yemen, Syria, Libya etc na sasa tunaona wanavyofanywa wapalestina katika ardhi yao wenyewe kwa mkono mrefu wa USA (majority Christian country).

Hizo ni nchi za mbali sio? waislamu hawana haki hata hapa Tanzania, mashekhe walifungwa 9 years kwa kosa la kusingiziwa ugaidi, kisa tu walipingana na msimamo wa serikali juu ya muungano. Juzi pia tumeona TEC wamepingana na msimamo wa Serikali juu bandari, tungeona pia basi japo mmoja anapewa kesi ya ugaidi! Laa hasha! those are untouchables! you can only play with muslims not others. Ni hilo tu? waislamu waliuliwa mwembe chai msikitini, wangapi pia waliuliwa Zanzibar kwa sababu za kisiasa? au utasema hizo ni siasa na haihusiani na religios tolerance? NOO!!! when a certain treatment is done to only a particular group of people then it's obvious that that group is an easy target in that society, and why is it an easy target? it's because they are viewed as being a less in valued group with no one to stand up for them!!! So if u want to talk about religious tolerance then talk about equal treatment first!

Ikiwa wewe unadhani co-existance ni wewe kwenda kudhihaki imani ya watu kwao hapo umekosea, ingekuwa huyo mlevi katolewa ndani anakunywa hapo lingekuwa kosa, lakini unawezaje kwenda kukaa kibarazani kwa mtu aliyefunga ukaanza kunywa pombe? hebu wewe niambie, waje wazinzi waanze kupigana miti barazani kwako ilhali wewe ni mzee wa kanisa, hiyo si uchokozi?
 
Muislamu unayetumua biblia badala ya quran hongera sana
Mtume muhammad alishushiwa quran badala ya biblia
Au umechoka kukariri kiarabu
Usinishambulie bure Mimi situmii biblia yako ya QJV, Jibu haya maswali

Wapi nilisema Mungu wa wakristo hana nguvu ?? Kwani wakristo halisi ni wa kanisa lipi ??na biblia ipi unaiona ndiyo yenyewe ??
 
Usinishambulie bure Mimi situmii biblia yako ya QJV, Jibu haya maswali

Wapi nilisema Mungu wa wakristo hana nguvu ?? Kwani wakristo halisi ni wa kanisa lipi ??na biblia ipi unaiona ndiyo yenyewe ??
Muislamu unayetumia biblia badala ya quran
 
1708620580378.jpeg
 
Ndiyo nipate kuwakaanga kwa mafuta yenu, mkristo Hana kitabu kinachoitwa biblia
Ukaange dini yenye wafuasi zaid ya billion 2 hilo ni tatizo la fikra kubwa sana

Mtume alishushiwa quran na sio biblia sasa unaenda kinyume na mpaka mtume wako
 
Ukaange dini yenye wafuasi zaid ya billion 2 hilo ni tatizo la fikra kubwa sana

Mtume alishushiwa quran na sio biblia sasa unaenda kinyume na mpaka mtume wako

Wapi imeandikwa ukristo ni dini , mbona hamjibu ?? na wapi imeandikwa biblia ni kitabu cha wakristo na kisisomwe na watu wengine ?? Nitakukaanga tu , suka au unyoe maadamu unajifanya biblia ni kitabu chako
 
Baada ya kushindwa kukariri quran umekimbilia kwenye biblia
Nasikia msikitini mnataka muanze kutumia biblia
kwani ndani ya biblia imeandikwa ni marufuku kusomwa na mtu asiye mkristo ?? halafu unatetea biblia ipi iliyo yako ?? QJV, KJV, NKJV, NIV, Douay, au maelfu ya biblia tofauti ??
 
Back
Top Bottom