Can you date a guy without asking him for Money?

Usd 500,000 or TSH 500,000?
 
Wewe ni wa kugombaniwa kama mpira wa kona
Binafsi yangu siwezi kuomba hela kwa mwanaume/mpenzi hata niwe na shida vipi.
Mwanaume anayetegemea nitamuomba hela,atasubiri Sana..
Labda anipe tu mwenyewe.
 
Tupo wengi sana Mama tena sana tu.
Unajua definition ya mwanaume anayependa? Mwanaume anayependa ni yule asiyesaliti hata kwa bahati mbaya yaani ana mwanamke mmoja tu!

Acheni hizo story zenu za kwenye vijiwe vya kahawa eti mwanaume anaweza akamsaliti mkewe na bado akampenda hizo ni sababu tu za kuhalalisha umalaya! Haya je dunia hii yupo mwanaume rijali ambaye ana mwanamke mmoja tu?
 
Watu wamepinda jamaniiiiiii nimecheka hatari.
Yaani wewe na Jael mmeifanya siku yangu kuwa nzuri Sana
Nilikuwa bored tangu asubuhi ila jioni hii nimecheka yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie wadada Mungu awabariki Sana
 
Tena huyu ucomedian amepunguza sasahivi...
Kuna mwaka nikiona comment zake nilikuwa nacheka hadi natokwa na machozi..sasa nikiangalia na ile Avatar yake ya kiemoj basi Mimi ni kucheka tu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie kuna siku nakutanaga na nyuzi zao za zamani nasoma comments, tangu zamani ana comments za aina hiyo.
 
Yaani wewe na Jael mmeifanya siku yangu kuwa nzuri Sana
Nilikuwa bored tangu asubuhi ila jioni hii nimecheka yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie wadada Mungu awabariki Sana
Kuna mwamba anaitwa Hornet hajafika angekuwepo naona ningejikojolea leo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie kuna siku nakutanaga na nyuzi zao za zamani nasoma comments, tangu zamani ana comments za aina hiyo.
Mimi mwenyewe huwa nawasoma
Zamani walikuwa Moto zaidi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi rekebisha hapa.
Umeandika at least usd 500,000 a month.
Hujasema kwa mwaka.
 
Kuna mwamba anaitwa Hornet hajafika angekuwepo naona ningejikojolea leo.
Hii combination yenu nikiiona huwa nacheka kama Kichaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hapa watu wananishangaa ninavyoangua kicheko [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Nyie wadada noma sana [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…