Hapana bana, didi ni kifilipino, means mwanamke mzuri mzuri.Kwa vile umemuita Didi nimehisi uko India au umeshawahi kuishi kule! Basi ndiyo maana una mtazamo wa aina hiyo maana kule wanawake ndiyo huwa wanatoa mahari!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana bana, didi ni kifilipino, means mwanamke mzuri mzuri.Kwa vile umemuita Didi nimehisi uko India au umeshawahi kuishi kule! Basi ndiyo maana una mtazamo wa aina hiyo maana kule wanawake ndiyo huwa wanatoa mahari!
Usd 500,000 or TSH 500,000?Mimi nilisemaga kwamba, I will NEVER let a woman take care of me or kids, PERIOD, but to each his own, if u the type of male that likes being taken care of by a woman then that’s on u. I think a man should at least be able to have the basics in life, a home, a car, savings of at least a third of his salary. In this country if u not doing at least $500,000 a month then u broke.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Aiseee
Kwa kweli aisee tunazidi kuona mengi zaidiHaaaaaa.
Hata sikujua huko nilihisi labda kamaanisha 6 figure ni kirefu kipya.
Kumbe ni sitaki.
Sikutegemea.
Soma tena dada AmuUsd 500,000 or TSH 500,000?
Binafsi yangu siwezi kuomba hela kwa mwanaume/mpenzi hata niwe na shida vipi.
Mwanaume anayetegemea nitamuomba hela,atasubiri Sana..
Labda anipe tu mwenyewe.
Unajua definition ya mwanaume anayependa? Mwanaume anayependa ni yule asiyesaliti hata kwa bahati mbaya yaani ana mwanamke mmoja tu!Tupo wengi sana Mama tena sana tu.
Dating without asking for money?[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] what a night mare!!!!
Yaani wewe na Jael mmeifanya siku yangu kuwa nzuri SanaWatu wamepinda jamaniiiiiii nimecheka hatari.
So ur not taking about Tanzania?Soma tena dada Amu
Naomba nikupe hela.Binafsi yangu siwezi kuomba hela kwa mwanaume/mpenzi hata niwe na shida vipi.
Mwanaume anayetegemea nitamuomba hela,atasubiri Sana..
Labda anipe tu mwenyewe.
Amu acha dharau Mama bt i mean per year banaSo ur not taking about Tanzania?
But still usd 500,000 per month ni parefu au wewe ni mtoto wa Bill gate?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie kuna siku nakutanaga na nyuzi zao za zamani nasoma comments, tangu zamani ana comments za aina hiyo.Tena huyu ucomedian amepunguza sasahivi...
Kuna mwaka nikiona comment zake nilikuwa nacheka hadi natokwa na machozi..sasa nikiangalia na ile Avatar yake ya kiemoj basi Mimi ni kucheka tu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ukinipa napokea japo siwezi kuomba.Naomba nikupe hela.
Kuna mwamba anaitwa Hornet hajafika angekuwepo naona ningejikojolea leo.Yaani wewe na Jael mmeifanya siku yangu kuwa nzuri Sana
Nilikuwa bored tangu asubuhi ila jioni hii nimecheka yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie wadada Mungu awabariki Sana
Mimi mwenyewe huwa nawasoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie kuna siku nakutanaga na nyuzi zao za zamani nasoma comments, tangu zamani ana comments za aina hiyo.
Basi rekebisha hapa.Mimi nilisemaga kwamba, I will NEVER let a woman take care of me or kids, PERIOD, but to each his own, if u the type of male that likes being taken care of by a woman then that’s on u. I think a man should at least be able to have the basics in life, a home, a car, savings of at least a third of his salary. In this country if u not doing at least $500,000 a month then u broke.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Aiseee
Hii combination yenu nikiiona huwa nacheka kama Kichaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mwamba anaitwa Hornet hajafika angekuwepo naona ningejikojolea leo.
Ni kihindi pia, maana yake Dada.Hapana bana, didi ni kifilipino, means mwanamke mzuri mzuri.