[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwanza anawezake kutoa sauti ya base?
Huwa nampenda rafiki yangu mmoja wa kiume ananiambiaga "amu nikiwa sina pesa siwezi kuwa na mahusiano" nikiwa na pesa nakamata mdada mmoha mkaliiiii sana.
Huyu ni mwanaume anajua maana sahihi ya mwanaume.
Oh labda useme haukuwepo humu kwa muda mrefu.
Lakini hata kwa michache uliyoisoma mbona inaonyesha wazi kuwa ni wa kike
OkeeAm good...namshukuru Mungu.
Tuseme umempata anayetoa hela... atapata huduma yenye thamani ya pesa yake? Mana hapo sasa ni biasharaHivi mwanaume anayetoa hela unaanzaje kumuacha?
Unaanzaje kuwa mkaidi kwake? Unaanzaje kumpimia kumpa bumunda?
Unaaanzaje kutokumsuprize na msosi wa maaana na kuona kitu kizuri kumnununulia?
Mwanaume anayetoa hela ni dhambi sana kumnunia.
Mwanaume akija au ukitembea nae kila mtu anajua huyu ni mwanaume hata yeye anajiamini kifua mbele anatembea na mkono amemshika mwanamke wake.
Oh sawaInategemea kile kilichoandikwa maana unaweza kusoma kilichoandikwa na kisionyeshe jinsia ya mwandishi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkutano wa maombiNa kama hutoi pesa hayo sio mapenzi ya dhati, ni mkutano wa muda mfupi tu.
Tatizo hao wrong people ndiyo wako wengi sasaProblem is you focus on the wrong people. Look at the upright people. Young, mature and focused.
Hao mnaowaangalia Ni Nani hasa katika jamii mpaka mnawapa uzito wa kuwashawishi whether to get married or not jamani?
ThanksOkee
[emoji122][emoji122][emoji122]Ndiyo maana natafuta mchana kwa usiku.
Kuna wakati navuka pori kwa pori kuitafuta.
Sasa kuwa na mwanaume ambae hajikuni hata ukiomba hana hapana.
Usinilishe maneno.Tuseme umempata anayetoa hela... atapata huduma yenye thamani ya pesa yake? Mana hapo sasa ni biashara
Kwakweli.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkutano wa maombi
Hadi nimetamani kukuona LIVE and DIRECT yaani.... JIBU LA MTU MWENYE KUELEWA ANAANDIKA NINI, NA NANI ANA JUKUMU GANI KWENYE MAZINGIRA YOYOTE... THANK YOUNajisikia kawaida tu maana jukumu la kunitunza ni la wazazi wangu..
Wananitunza vizuri sijawahi kosa chochote.
Mwe jukumu=lazima...... Tunatengeneza jamii ya ajabu.Hata mwanamke anaweza kukaa na broke man.
Provided mwanaume anajitambua na anatafuta.
Akiwa na ana buku inaonekana, akiwa na 20,000 inaonekana.
Huyu hata akiwa na dollar 20,000 pia itaonekana.
Ukimkuta mwanamke wako ni broke ni jukumu lako kama mwanaume kumuwezesha.
Utasagana hadi lini? unayesagana naye atakupa hela?
Hili neno la biashara mnalipenda kweli, kuna mtu alisema hutumiwa na wale walozoea kununua kimboka hivyo hata mpenzi wake kumhudumia naona ni biashara bado anafanya.Tuseme umempata anayetoa hela... atapata huduma yenye thamani ya pesa yake? Mana hapo sasa ni biashara
NIMEKULISHA MANENO GANI?Usinilishe maneno.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kristo babaTena ana wowowo la maana.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] woii ulijua mie mkaka