Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

Kwanza anawezake kutoa sauti ya base?
Huwa nampenda rafiki yangu mmoja wa kiume ananiambiaga "amu nikiwa sina pesa siwezi kuwa na mahusiano" nikiwa na pesa nakamata mdada mmoha mkaliiiii sana.

Huyu ni mwanaume anajua maana sahihi ya mwanaume.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa hatoi pesa anafungua mdomo kuongea nini, bora tu anyamaze aangalie hata katuni.
 
Inategemea kile kilichoandikwa maana unaweza kusoma kilichoandikwa na kisionyeshe jinsia ya mwandishi.

Oh labda useme haukuwepo humu kwa muda mrefu.

Lakini hata kwa michache uliyoisoma mbona inaonyesha wazi kuwa ni wa kike
 
Hivi mwanaume anayetoa hela unaanzaje kumuacha?

Unaanzaje kuwa mkaidi kwake? Unaanzaje kumpimia kumpa bumunda?

Unaaanzaje kutokumsuprize na msosi wa maaana na kuona kitu kizuri kumnununulia?

Mwanaume anayetoa hela ni dhambi sana kumnunia.
Mwanaume akija au ukitembea nae kila mtu anajua huyu ni mwanaume hata yeye anajiamini kifua mbele anatembea na mkono amemshika mwanamke wake.
Tuseme umempata anayetoa hela... atapata huduma yenye thamani ya pesa yake? Mana hapo sasa ni biashara
 
Ndiyo maana natafuta mchana kwa usiku.
Kuna wakati navuka pori kwa pori kuitafuta.

Sasa kuwa na mwanaume ambae hajikuni hata ukiomba hana hapana.
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Najisikia kawaida tu maana jukumu la kunitunza ni la wazazi wangu..
Wananitunza vizuri sijawahi kosa chochote.
Hadi nimetamani kukuona LIVE and DIRECT yaani.... JIBU LA MTU MWENYE KUELEWA ANAANDIKA NINI, NA NANI ANA JUKUMU GANI KWENYE MAZINGIRA YOYOTE... THANK YOU
 
Hata mwanamke anaweza kukaa na broke man.
Provided mwanaume anajitambua na anatafuta.

Akiwa na ana buku inaonekana, akiwa na 20,000 inaonekana.
Huyu hata akiwa na dollar 20,000 pia itaonekana.

Ukimkuta mwanamke wako ni broke ni jukumu lako kama mwanaume kumuwezesha.
Mwe jukumu=lazima...... Tunatengeneza jamii ya ajabu.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Tuseme umempata anayetoa hela... atapata huduma yenye thamani ya pesa yake? Mana hapo sasa ni biashara
Hili neno la biashara mnalipenda kweli, kuna mtu alisema hutumiwa na wale walozoea kununua kimboka hivyo hata mpenzi wake kumhudumia naona ni biashara bado anafanya.

Sijui ni akina nani waliwadumaza namna hii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] hebu rudini kwenye nafasi zenu jamani. Its not too late.
 
Back
Top Bottom