Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwanza anawezake kutoa sauti ya base?
Huwa nampenda rafiki yangu mmoja wa kiume ananiambiaga "amu nikiwa sina pesa siwezi kuwa na mahusiano" nikiwa na pesa nakamata mdada mmoha mkaliiiii sana.
Huyu ni mwanaume anajua maana sahihi ya mwanaume.
Sasa hatoi pesa anafungua mdomo kuongea nini, bora tu anyamaze aangalie hata katuni.