Hiyo tafsiri sasa ni matatizo binafsi. We toa pesa bwana achana na matafsiri yatakuondoa kwenye lengo jema kabisa.Mwanamke akiniomba pesa namchukulia tofauti kabisa....
Mimi sio kipofu nitaona ukihitaji pesa...ukiniomba unaniambia sijui unapopatwa na tatizo na kuna tafsiri nyingine ambayo ipo kichwani mwangu hata kuiandika siwezi.
Mwanaume anayejitambua akiwiwa kukupa zawadi atakupa tu mwenyewe..
Sasa unakuta mtu mwingine amekomaa kuomba.
Akhsante Bak
Ngoja kwanza.Kimsingi mimi nataka mkewng au mpenzi wangu awe ananipa kwa siku mara3, isishuke chini ya hapo
Wow kumbe najishaua? Mie kibungo tena haswa vipi kwani ulishawahi kufuma comment yangu humu niliyosema mie mzuri?Nikimeze kinini? Halafu mtu mwenyewe unaeza kuta ni kibungo hatari,halafu kutwa kucha kujishaua humu ndan[emoji57][emoji57]
Unanichukulia kirahisi sana dada.Ngoja kwanza.
Hizo nguvu unazo?
Usipopewa haki yako inapaswa hata mahakamani uende hadi upewe. Usisubiri kudaiwa bwana.Sio kuomba tu wengine wanadai kabisa[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani mwenzio naangua kicheko
Kitu kikinichekesha siwezi vumilia..
Huku huwa naangua kicheko hadi natokwa na machozi
Huyu dada anaweza kunitoa roho kwa kicheko
Tehteh...Hiyo tafsiri sasa ni matatizo binafsi. We toa pesa bwana achana na matafsiri yatakuondoa kwenye lengo jema kabisa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ngoja kwanza.
Hizo nguvu unazo?
Wanawake wazuri ni aina gani ya hao wanawake???wanawake wazuri
Nimekuuliza tu mdogo wangu.Unanichukulia kirahisi sana dada.
We mazoea hebu nenda kasonge ugali bhana! Me wanawake wa jf nawajua 95% vibungo humu ndanWow kumbe najishaua? Mie kibungo tena haswa vipi kwani ulishawahi kufuma comment yangu humu niliyosema mie mzuri?
Halafu subiri kwanza kumbe huwa mnataka wanawake wazuri tu ndiyo wawe wanawakosoa humu ndani? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Ubarikiwe unapoeleka kutoa pesa. Nami usinisahau mdogo wangu.Tehteh...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeona eenh, na tuttyfruity angekuwepo hapa haki ya nani hawa wakaka wangeporomosha matusi kwa kupanic yule dada hapana kuna fuse zilishaachia kichwani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] yaani nacheka Kama kichaa
Hapa kantwe bado hajakanyaga humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa asipotuma na ya kutolea anategemea hiyo hela inatokaje? [emoji1745][emoji1745]mimi nakuomba na ya kutolea….
Oohh imefika usijaliMpe namba yangu ya mpesa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We mazoea hebu nenda kasonge ugali bhana! Me wanawake wa jf nawajua 95% vibungo humu ndan
Tuombe radhi mm level ya ukaka nimeshavuka.wakaka
Mwanamke akiniomba pesa namchukulia tofauti kabisa....
Mimi sio kipofu nitaona ukihitaji pesa...ukiniomba unaniambia sijui unapopatwa na tatizo na kuna tafsiri nyingine ambayo ipo kichwani mwangu hata kuiandika siwezi.