Can you date a guy without asking him for Money?

Nimecheka eti weeee ni mstaarabu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzigua90 uko wapi shoga.

Sasa kuna yule mswiss wa pili alijifanya yeye anapoga picja na via za Uswiss kabisa anamuambia Parabola nayeye apige picha kama yeye atupie.
Naye mule mule tu nacheka hiiiii
Ila jf hii bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna yule mwingine anajifanya amekuelewa hivyo anataka akupe milioni2 ili mspend usiku mmoja hoteli kubwa yoyote utakayochagua. Uandishi tu unasema nyokolo zako na robo ukute hapo unatumia free basics.
 

Hahaaa nyie wanawake nawafahamu vizuri sana, mnawaomba pesa wanaume ambao hamjavutiwa nao kingono, akija mwanaume anaekuvutia, handsome ambae ukimwona papuchi inaloa, unampa papuchi ya bure kirahisii..unasahau kumuomba hela Zoë
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…