Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

Ila jf hii bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna yule mwingine anajifanya amekuelewa hivyo anataka akupe milioni2 ili mspend usiku mmoja hoteli kubwa yoyote utakayochagua. Uandishi tu unasema nyokolo zako na robo ukute hapo unatumia free basics.
Halafu "Mimi ni memba mkongwe ila nimeamua kutumia Id mpya,kwa sababu ya usalama"๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
akianza tu kuandika mahitaji ya nywele,
shampoo,leave in conditioner,jelly,Moisturizer

kabla hajafikia vya usoni unamblock kwanza!

kwa nini asitafute ya kwake!!
Kama ameamua kutafuta ya kwake kwanini aombe yangu ? Atumie yake kisha tukutanishwe kwenye lile la kukidhiana haja tu.
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Nitatafuta..
Ila naonaga kwenye muvi na humu jf wanasema unaweza pata penzi la kweli bila kutumia pesa..
For me mapenzi ain't something that really rock to me..
Wapo wengi sana hata mjini Dsm wapo ila sio yule mdada kwao ndo wanamtegemea au kwao hawasaidiani, rich girl look for love not money
 
Shida sio ninyi wanawake kutuomba hela, ukweli ni kuwa sisi wanaume tunapenda sana kuwapa hela wanawake tunao-date nao.

Shida ni kuwa wanawake wengi wanaotuomba hela mwanzoni mwa mahusiano (especially ile time kabla hawajatoa papuchi) hawana mapenzi ya kweli kwetu sisi wanaume, (wanatupendea hela) wapo na sisi kwa sababu ya hela, na sio kwasababu wamevutiwa kingono na sisi, sasa sisi wanaume we can sense & smell that from a mile, na hatujisikii vizuri tukigundua kuwa tumependewa hela.

Wewe kama mwanamke ukiwa na shida ya kifedha usisite kumuomba hela boyfriend wako eti ukifikiria utaonekana vipi, as long as unajua umevutiwa kingono na huyo boyfriend wako, it means motive yako ya kuomba hela ni nzuri, bhas wewe omba hela tu hata kama ni tsh. Million 1 (kulingana na uwezo wa boyfriend wako) na boyfriend wako kama anajielewa atakuwa more than happy kukusaidia amu Binti1 Saint Anne Jael
Hivi kwanini umuwekee masharti kwamba "kabla ya"? Halafu umshangae yeye akifanya the same? Hata yeye anaangalia je ni kweli uko real na unaweza kuyachukulia yake kama yako?

Kwahiyo shida yake isubirie hiyo "kabla ya" yako? Hapo ndipo umeharibu, kuombwa pesa mapema haimaanishi mtu hajavutia nawe, anaweza akawa hajavutiwa nawe na akakuvutia pumzi akijipanga akupige vizuri. Hivyo usikariri. We umemkubali na mmekubaliana basi fresh tu mengine yaendelee usianze kujiuliza uliza.
 
Ila jf hii bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna yule mwingine anajifanya amekuelewa hivyo anataka akupe milioni2 ili mspend usiku mmoja hoteli kubwa yoyote utakayochagua. Uandishi tu unasema nyokolo zako na robo ukute hapo unatumia free basics.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Niliulizwa bajeti yangu ya matumizi ya wiki niwe natumiwa.
Kumbe anakaa kwa kaka.
Gari anaendesha la kaka.
Ni kanajanafunzi pia.
 
Back
Top Bottom