Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

Uzuri maisha yapo systematically
Unaweza kufanya upate hao wanaojali pesa tu au uwe unapata wanahitaji mapenzi zaidi kuliko pesa zako.
Ukijua jinsi ya kuset hizo system hata huteseki..
Ila mimi pia naamini mwanamke anahitaji pesa...kama mwanamke hataki pesa tambua huo ni mtego huko baadae atataka uwe na pesa.

Ila acha tu wanawake wapende pesa maana kama mimi nikiwa sina hela au pesa ikipungua kwa akaunti naanza kuugua coz najua matatizo mtu anapitia asipokuwa na hela.
 
Kitandani wewe hupapasi nywele? Hupapasi tako? Au unatala nywele itengenezwe vizuriiio wewe uje utibue kama bata bwaawani halafu uondoke bila service.

Baba hata basikeli tu inahitaji service woooi.
Sawa.
 
Ila mimi pia naamini mwanamke anahitaji pesa...kama mwanamke hataki pesa tambua huo ni mtego huko baadae atataka uwe na pesa.

Ila acha tu wanawake wapende pesa maana kama mimi nikiwa sina hela au pesa ikipungua kwa akaunti naanza kuugua coz najua matatizo mtu anapitia asipokuwa na hela.
Mkuuu uko na sisi au uko wapi.
Sikuelewi.
Unaponda hapo happ unasupport [emoji848]
Wapo wengi sana hata mjini Dsm wapo ila sio yule mdada kwao ndo wanamtegemea au kwao hawasaidiani, rich girl look for love not money
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Niliulizwa bajeti yangu ya matumizi ya wiki niwe natumiwa.
Kumbe anakaa kwa kaka.
Gari anaendesha la kaka.
Ni kanajanafunzi pia.
Mie shawahi kutukanwa humu na mmoja akaniambia anapesa za kuweza kunilisha na ukoo wangu mzima. Eeeh bwana we siku namkuta kwa uzi wa Ontario anaomba ampe hata kazi ya ulinzi maana amechoka kugombania remote na wadogo zake nyumbani. Haki nilicheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom