Can you date a guy without asking him for Money?

Halafu "Mimi ni memba mkongwe ila nimeamua kutumia Id mpya,kwa sababu ya usalama"πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
akianza tu kuandika mahitaji ya nywele,
shampoo,leave in conditioner,jelly,Moisturizer

kabla hajafikia vya usoni unamblock kwanza!

kwa nini asitafute ya kwake!!
Kama ameamua kutafuta ya kwake kwanini aombe yangu ? Atumie yake kisha tukutanishwe kwenye lile la kukidhiana haja tu.
 
😁😁😁 Nitatafuta..
Ila naonaga kwenye muvi na humu jf wanasema unaweza pata penzi la kweli bila kutumia pesa..
For me mapenzi ain't something that really rock to me..
Wapo wengi sana hata mjini Dsm wapo ila sio yule mdada kwao ndo wanamtegemea au kwao hawasaidiani, rich girl look for love not money
 
akianza tu kuandika mahitaji ya nywele,
shampoo,leave in conditioner,jelly,Moisturizer
Achilia mbali ile dhati ya kuomba, hivi ulivyo vitaja vina natija gani kwako ?
 
Hivi kwanini umuwekee masharti kwamba "kabla ya"? Halafu umshangae yeye akifanya the same? Hata yeye anaangalia je ni kweli uko real na unaweza kuyachukulia yake kama yako?

Kwahiyo shida yake isubirie hiyo "kabla ya" yako? Hapo ndipo umeharibu, kuombwa pesa mapema haimaanishi mtu hajavutia nawe, anaweza akawa hajavutiwa nawe na akakuvutia pumzi akijipanga akupige vizuri. Hivyo usikariri. We umemkubali na mmekubaliana basi fresh tu mengine yaendelee usianze kujiuliza uliza.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Niliulizwa bajeti yangu ya matumizi ya wiki niwe natumiwa.
Kumbe anakaa kwa kaka.
Gari anaendesha la kaka.
Ni kanajanafunzi pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…