Extrovert mbona kila kitu unajisemea wewe umekaza mimi mimi mimi. Hapa tunaongelea majority of tanzanian men.
Halafu wewe inaonekana hauna pesa. I mean no offence ila comments zako nyingi huwa unalalamika kuhusu kuombwa hela.
Ila inawezekana anajua ila aliamua kutojichosha..akaamua awachoshe nyie kumjibu kidhungu[emoji3526]Umeona eenh. Jamaa atakuwa na phd in copying and pasting.
Haya mambo haya. Yaani mi kwa kweli kama kitu sijui ni sijui siwezi force kujua. Humu ndani kuna watu wanajua vitu vingi sana ila huwa wako low key. Maana kujua siyo shida ila shida ni kujifanya unajua wakati hujui matokeo yake ndiyo haya.
Oohh sawaBaadaye alisema anatania
Alipo ni saa tano..
Ngoja nitakuja kule tuhakikishe.
[emoji2960][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji120][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi na wewe tena shoga yangu
Cute B aliwahi kunipa hiki cheo kipindi kile najiita Edelyn. Teh enzi hizo naonekana mama mtu mzima hata kina FaizaFoxy wadogo basi na mie nikawa najiooooona. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapi huko umekumbuka?
Kumbe una matatizo mazito[emoji134][emoji134]Nahudumia ila sio kila mwanamke, wengine inabidi tule kitonga tusije tukachakaza clutch!
Zitakuoneaje huruma mdangajiHuruma hiyo vipi? Mbona shida mie hazinionei huruma!!!
Sasa subiri wanakamati wenzio waje sipati picha moto utakaowaka. Yaani wawepo makamanda Hannah, Jael, Amu, Dinazarde na Hornet uwii. Watu watakimbia uzi kama yule jamaa/binti aliyekuwa anakopi na kupesti Kimalkia kumbe kamati ipo inamwangalia tu. Nilipita nikiwa nimechoka yaani nimecheka leo mpaka basi. Hii kamati siyo lelemama aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Waache waendelee kukariri. Kuna wanawake hawaombi pesa ila ni matraffic wamepanga msururu wa wanaume na hawagongani hata siku moja.Unajua nini wanapenda hako kamsemo “mwanamke asoomba pesa ndio mzuri Ana tabia nzuri”ili wajilie bure ,huo ni uchoyoo tu na ubahilii na kuiona pesa kama roho
Na hawataki majukumu hawa wa hivi wakikuoa ndani atataka mchangie bill na usisaidie kwenu
Oooh kumbe wewe ni mdangaji? Kazi njema.Zitakuoneaje huruma mdangaji
Hilo nalo neno. Ulivyosema hivyo umenikumbusha kuna mtu alianzisha uzi akawa anasema huyu mkwepu jr ni nani mbona huwa analike na hacomment chochote unakuta uzi una comments 2000 ila analike zote.Ila inawezekana anajua ila aliamua kutojichosha..akaamua awachoshe nyie kumjibu kidhungu[emoji3526]
Hahhaaa kuna mwanaume bado yupo hapa anashusha magazeti?
wenzie wamekumbatia watoto wazuri saa hizi
Yes inawezekana, kinachotakiwa hapo ni tutakuwa tunawasiliana vizuri, tunapanga mipango ya hapa na pale... Mahitaji yote nitapata kwa wazazi..... Ila ikumbukwe hakutakuwa na sex sababu ewe kiumbe mwanaume hujanilipia mahari kwetu...... So itabidi ufanye juhudi za kupeleka mahari na taratibu za ndoa zifuatwe kisha tuanze kunyanduana, asubuhi, mchana, jioni, usiku n. K
😅😅 dirty girlWafate process sio kutufanya bwawa for nothing
Jamaa ni boya, wamekuja kikosi kazi wamempasua vipande vipande sijui hata katokomea wapi jamaa.
Ule Uzi alioanzishiwa mkwepuHilo nalo neno. Ulivyosema hivyo umenikumbusha kuna mtu alianzisha uzi akawa anasema huyu mkwepu jr ni nani mbona huwa analike na hacomment chochote unakuta uzi una comments 2000 ila analike zote.
Jamaa mmoja akamjibu "mwenzio anapita tu analike bila kusoma mwenye matatizo ni wewe unayeanza kukagua comment moja moja kiasi cha kujua kuwa kalike comments zote 2000". Aisee nilicheka sasa ndiyo haya haya.
[emoji28][emoji28] Bado mnaendelea
Umemaliza kila kitu[emoji122][emoji122][emoji122]Yes inawezekana, kinachotakiwa hapo ni tutakuwa tunawasiliana vizuri, tunapanga mipango ya hapa na pale... Mahitaji yote nitapata kwa wazazi..... Ila ikumbukwe hakutakuwa na sex sababu ewe kiumbe mwanaume hujanilipia mahari kwetu...... So itabidi ufanye juhudi za kupeleka mahari na taratibu za ndoa zifuatwe kisha tuanze kunyanduana, asubuhi, mchana, jioni, usiku n. K