Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

Extrovert mbona kila kitu unajisemea wewe umekaza mimi mimi mimi. Hapa tunaongelea majority of tanzanian men.

Halafu wewe inaonekana hauna pesa. I mean no offence ila comments zako nyingi huwa unalalamika kuhusu kuombwa hela.

Unajua nini wanapenda hako kamsemo “mwanamke asoomba pesa ndio mzuri Ana tabia nzuri”ili wajilie bure ,huo ni uchoyoo tu na ubahilii na kuiona pesa kama roho
Na hawataki majukumu hawa wa hivi wakikuoa ndani atataka mchangie bill na usisaidie kwenu
 
Umeona eenh. Jamaa atakuwa na phd in copying and pasting.

Haya mambo haya. Yaani mi kwa kweli kama kitu sijui ni sijui siwezi force kujua. Humu ndani kuna watu wanajua vitu vingi sana ila huwa wako low key. Maana kujua siyo shida ila shida ni kujifanya unajua wakati hujui matokeo yake ndiyo haya.
Ila inawezekana anajua ila aliamua kutojichosha..akaamua awachoshe nyie kumjibu kidhungu[emoji3526]
 
Wapi huko umekumbuka?
Cute B aliwahi kunipa hiki cheo kipindi kile najiita Edelyn. Teh enzi hizo naonekana mama mtu mzima hata kina FaizaFoxy wadogo basi na mie nikawa najiooooona. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nikitoka nje ya JF mama ananiita ananituma dukani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa subiri wanakamati wenzio waje sipati picha moto utakaowaka. Yaani wawepo makamanda Hannah, Jael, Amu, Dinazarde na Hornet uwii. Watu watakimbia uzi kama yule jamaa/binti aliyekuwa anakopi na kupesti Kimalkia kumbe kamati ipo inamwangalia tu. Nilipita nikiwa nimechoka yaani nimecheka leo mpaka basi. Hii kamati siyo lelemama aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Huu uzi nimekumbuka zamani watu walivyokuwa hot kwenye nyuzi mpaka mnakesha mnachart tu
Hii Kamati acha tu
 
Unajua nini wanapenda hako kamsemo “mwanamke asoomba pesa ndio mzuri Ana tabia nzuri”ili wajilie bure ,huo ni uchoyoo tu na ubahilii na kuiona pesa kama roho
Na hawataki majukumu hawa wa hivi wakikuoa ndani atataka mchangie bill na usisaidie kwenu
Waache waendelee kukariri. Kuna wanawake hawaombi pesa ila ni matraffic wamepanga msururu wa wanaume na hawagongani hata siku moja.
 
Ila inawezekana anajua ila aliamua kutojichosha..akaamua awachoshe nyie kumjibu kidhungu[emoji3526]
Hilo nalo neno. Ulivyosema hivyo umenikumbusha kuna mtu alianzisha uzi akawa anasema huyu mkwepu jr ni nani mbona huwa analike na hacomment chochote unakuta uzi una comments 2000 ila analike zote.

Jamaa mmoja akamjibu "mwenzio anapita tu analike bila kusoma mwenye matatizo ni wewe unayeanza kukagua comment moja moja kiasi cha kujua kuwa kalike comments zote 2000". Aisee nilicheka sasa ndiyo haya haya.
 
Yes inawezekana, kinachotakiwa hapo ni tutakuwa tunawasiliana vizuri, tunapanga mipango ya hapa na pale... Mahitaji yote nitapata kwa wazazi..... Ila ikumbukwe hakutakuwa na sex sababu ewe kiumbe mwanaume hujanilipia mahari kwetu...... So itabidi ufanye juhudi za kupeleka mahari na taratibu za ndoa zifuatwe kisha tuanze kunyanduana, asubuhi, mchana, jioni, usiku n. K

Wafate process sio kutufanya bwawa for nothing
 
Hilo nalo neno. Ulivyosema hivyo umenikumbusha kuna mtu alianzisha uzi akawa anasema huyu mkwepu jr ni nani mbona huwa analike na hacomment chochote unakuta uzi una comments 2000 ila analike zote.

Jamaa mmoja akamjibu "mwenzio anapita tu analike bila kusoma mwenye matatizo ni wewe unayeanza kukagua comment moja moja kiasi cha kujua kuwa kalike comments zote 2000". Aisee nilicheka sasa ndiyo haya haya.
Ule Uzi alioanzishiwa mkwepu
Kulikuwa na mtifuano nikabaki nacheka mwenyewe.
 
Yes inawezekana, kinachotakiwa hapo ni tutakuwa tunawasiliana vizuri, tunapanga mipango ya hapa na pale... Mahitaji yote nitapata kwa wazazi..... Ila ikumbukwe hakutakuwa na sex sababu ewe kiumbe mwanaume hujanilipia mahari kwetu...... So itabidi ufanye juhudi za kupeleka mahari na taratibu za ndoa zifuatwe kisha tuanze kunyanduana, asubuhi, mchana, jioni, usiku n. K
Umemaliza kila kitu[emoji122][emoji122][emoji122]
Uzi ufungwe
 
Back
Top Bottom