Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Extrovert mbona kila kitu unajisemea wewe umekaza mimi mimi mimi. Hapa tunaongelea majority of tanzanian men.
Halafu wewe inaonekana hauna pesa. I mean no offence ila comments zako nyingi huwa unalalamika kuhusu kuombwa hela.
Unajua nini wanapenda hako kamsemo “mwanamke asoomba pesa ndio mzuri Ana tabia nzuri”ili wajilie bure ,huo ni uchoyoo tu na ubahilii na kuiona pesa kama roho
Na hawataki majukumu hawa wa hivi wakikuoa ndani atataka mchangie bill na usisaidie kwenu