Can you date a guy without asking him for Money?

Wahuni watakwambia ni nature tu...kupenda vipande vipande!!!
 
Kumbe unajua Kama sex haimfanyi mtu kuolewa?
Kama haimfanyi mtu aolewe basi si muhimu..halafu pia ni dhambi.
 
Mbona unakazia sana mama!

Tabia nzuri hio lazima isifiwe. Shida ya vitoto ambavyo vilianza pigo za umatonya enzi za udogoni bila kukanywa.

"shkamoo kaka Rama, naomba mia!"

Madhara yake ndio tunayapata sie sahizi.
 
Hapo sasa tunarudi kule kule kwenye kuuziana mbuzi kwenye gunia.

Maana mtu anaweza kuwa na nia ya kukuoa na akavumilia kwa kipindi chote cha urafiki wenu mpaka atakapokuoa,shida inakuja ameshakuoa ndo anakutana na pango la amboni.

Huwa inaumiza sana.
Ila muda huo usiniambie habari za sex..
Nitakuambia hiyo hela unayotaka kunipa ikusanye ukapeleke mahari nyumbani uje kunichukua.
 
Ndiye chaguo lako
Ulipokuwa unaonja wa wenzio na wewe walikuwa wanampangua wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…