Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

Nakuambia hii ya kudate na mwanaume hakupi pesa kwa wanaume wa kibongo haifai kabisa tuachie wazungu hata wao pia wanahonga sanaa tu,
Mtu hunioi,unakuta una mademu kibao
Yaan niwe na shida nikate kimya tu na Nina mpenzi ananikunjaga kama Tairi

Nyie wapenzi wenu wana shida sanaaa na mnakuwaga ni wachoyo tu na roho mbayaa
Mi wangu ananipa asiponipa hajisikii vizuri kabisa kama hana najua hana natumia zangu
Afu mlivyo na dharau sasa bora hata mngekuwa honest tungeelewa,wengi wenu bla bla tu ,uongo mwingi,umalaya sasa kila mtaa mna mademu

Weee niwache
Wahuni watakwambia ni nature tu...kupenda vipande vipande!!!
 
Nimefatilia majibu yako mrembo" ila apo sasa unachoma!!!! Sasa mambo ya ndoa ni badae mama lazima nichome nione yaliyomo yamo..... Apo kwenye kutoa mahari ni ushawishi wako mrembo kwa men!!! Shoo muhimu bana then nitakuoa kwa tabia zako nyingine out of sex cuz sex haimfanyi mwanamme kuoa mam
Kumbe unajua Kama sex haimfanyi mtu kuolewa?
Kama haimfanyi mtu aolewe basi si muhimu..halafu pia ni dhambi.
 
Unajua nini wanapenda hako kamsemo “mwanamke asoomba pesa ndio mzuri Ana tabia nzuri”ili wajilie bure ,huo ni uchoyoo tu na ubahilii na kuiona pesa kama roho
Na hawataki majukumu hawa wa hivi wakikuoa ndani atataka mchangie bill na usisaidie kwenu
Mbona unakazia sana mama!

Tabia nzuri hio lazima isifiwe. Shida ya vitoto ambavyo vilianza pigo za umatonya enzi za udogoni bila kukanywa.

"shkamoo kaka Rama, naomba mia!"

Madhara yake ndio tunayapata sie sahizi.
 
Hapo sasa tunarudi kule kule kwenye kuuziana mbuzi kwenye gunia.

Maana mtu anaweza kuwa na nia ya kukuoa na akavumilia kwa kipindi chote cha urafiki wenu mpaka atakapokuoa,shida inakuja ameshakuoa ndo anakutana na pango la amboni.

Huwa inaumiza sana.
Ila muda huo usiniambie habari za sex..
Nitakuambia hiyo hela unayotaka kunipa ikusanye ukapeleke mahari nyumbani uje kunichukua.
 
Hapo sasa tunarudi kule kule kwenye kuuziana mbuzi kwenye gunia.

Maana mtu anaweza kuwa na nia ya kukuoa na akavumilia kwa kipindi chote cha urafiki wenu mpaka atakapokuoa,shida inakuja ameshakuoa ndo anakutana na pango la amboni.

Huwa inaumiza sana.
Ndiye chaguo lako
Ulipokuwa unaonja wa wenzio na wewe walikuwa wanampangua wako.
 
Back
Top Bottom