Can you date a guy without asking him for Money?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mnavyojua kukunja jaman unatoka miguu haina nguvu inatetemeka kweli halaf hata kesho yake huna pesa ya kula kuku na energy drink ili kuupa mwili nguvu eti hata wewe utaweza kweli
Energy drink si mia tano............ 😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎
 
Kweli kuna wanaume wana sehemu zao maalumu kabisa mbiguni.
Ila hawa wengine ni kuni kabisa, uchoyo tu umewaganda.
 
Kuna wanaume kuwaomba hela ni dhambi sana.

Haifa
 
Ushauri mzuri Ila wengi wao watakuona sumu, hawataki kusikia unawapa ushauri wa kuwa na financial freedom
 
Kweli kabisa [emoji847][emoji114][emoji120]
 
Kweli kuna wanaume wana sehemu zao maalumu kabisa mbiguni.
Ila hawa wengine ni kuni kabisa, uchoyo tu umewaganda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwamba ni wachoyo.... Ingekuwa now mungu anauliza kama mbavu zao zichomolewe ili tuumbwe sisi ama lah, hawa viumbe wangekataa kabisa Kutoa mbavu zao za kushoto
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanavyotupenda sasa, wangekubali tu kishingo upande maana hawana namna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…