Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimuonee aibu mwanaume ambae ananibinjua? Nina shida na yeye yupo? Hata hela ya kula kuku kama sina namuambia vizuri tu.
Sijui kwanini kila Comment yako na Jael ninayosoma kwenye huu uzi lazima nicheke..