Can you date a guy without asking him for Money?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mnavyojua kukunja jaman unatoka miguu haina nguvu inatetemeka kweli halaf hata kesho yake huna pesa ya kula kuku na energy drink ili kuupa mwili nguvu eti hata wewe utaweza kweli
Energy drink si mia tano............ 😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niliwahi kuandika sehemu humu.. kutoa hela Mwanaume ni kipaji kama kipaji kingine aisee...

Kuna Wanaume hawaombwi eti.. yaani ni yule anajua Baby anataka nini? Ukizungumzia unataka kwenda Saloon atakuuliza atakuuliza unahitaji Shilingi ngapi? Imagine????.. Ni wale Wanaume wanasimama kwenye nafasi zao..

Unakuta Mwanaume anauwezo/ anakila kitu ila hata mia yake huipati.. Mnaweza kwenda sehemu mnaspend hata Million.. ila siyo mtoaji.. Mwingine Maisha yake ni ya kawaida sana.. ila atakupa kila utakachohitaji bila hata kumuomba..

Binafsi nami ni mzito sana kumuomba Mwanaume hela aisee.. Napenda wale Wanaume Wasiosubiri kuombwa..
Kweli kuna wanaume wana sehemu zao maalumu kabisa mbiguni.
Ila hawa wengine ni kuni kabisa, uchoyo tu umewaganda.
 
Kuna wanaume kuwaomba hela ni dhambi sana.

Haifa
 
Ushauri mzuri
Jael, Atu, Zoe na wenzako niwape rai moja kwamba, ukipenda kuomba pesa kuwa na tabia ya kuitafuta hiyo pesa, usipenda kupenda pesa huku unategemea pesa ya kutoka mfukoni mwa mwanaume wako. Wanawake wengi mnanyanyasika kwa sababu wengi wenu hamna FINANCIAL FREEDOM.
Ila wengi wao watakuona sumu, hawataki kusikia unawapa ushauri wa kuwa na financial freedom
 
Inakuwaje gavana wa Dar, Bashite anawafukuza wale watoto wa kigogo kama ombaomba pale cbe na posta anawaacha hawa ombaomba wa kimapenzi, hili kundi la ombaomba la kimapenzi limekuwa kubwa na kero sana kwa sasa. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji13] [emoji13] [emoji13], Yesu watu watu watanishambulia kama nn.
Kweli kabisa [emoji847][emoji114][emoji120]
 
Kweli kuna wanaume wana sehemu zao maalumu kabisa mbiguni.
Ila hawa wengine ni kuni kabisa, uchoyo tu umewaganda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwamba ni wachoyo.... Ingekuwa now mungu anauliza kama mbavu zao zichomolewe ili tuumbwe sisi ama lah, hawa viumbe wangekataa kabisa Kutoa mbavu zao za kushoto
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanavyotupenda sasa, wangekubali tu kishingo upande maana hawana namna.
 
Back
Top Bottom