Can you date a guy without asking him for Money?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya ndio mambo sasa, mambo kama haya yanafanya mahusiano yanakuwa na uhai kila siku. Yale ya baby baby zile msg zinakuwa hazina tofauti na zile za waganga au PESA NI MPESA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo no money no baby baby
 
Ten hachangii.
Atakuja kila jioni na ndizi mbili za kulia ubwabwa [emoji23][emoji23][emoji23] na rimoti atashika kubadilisha channel [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Embu Ngoja nikalale
Nimecheka Hadi mbavu zinaniuma[emoji23][emoji23][emoji119]
 
Mwanaume asiyekupa hela na wewe humuombi amini kuna sehemu anapeleka.
Wanaume wanaona fahari sana tukitumia hela zao.
Hata hawaumii huwa wanaona fahari sana nyie tu hamjui.
[emoji3]
[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]
 
Nina swali kwako wewe mpenda pesa, Should a man stay in a relationship with a broke woman???
Hata mwanamke anaweza kukaa na broke man.
Provided mwanaume anajitambua na anatafuta.

Akiwa na ana buku inaonekana, akiwa na 20,000 inaonekana.
Huyu hata akiwa na dollar 20,000 pia itaonekana.

Ukimkuta mwanamke wako ni broke ni jukumu lako kama mwanaume kumuwezesha.
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Ten hachangii.
Atakuja kila jioni na ndizi mbili za kulia ubwabwa [emoji23][emoji23][emoji23] na rimoti atashika kubadilisha channel [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanaume wa aina hiyo ndiyo wale wanaojibiwa "kale ulikopeleka mboga"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…