Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ungekuwa mwanaume wala usingeniuliza hili swali.
Siwezi kujisimamia kwani najinyea mkuu?
Najisimamia na kusimamia nafasi yangu, hivyonlazima na mwanaume asimame kwenye nafasi yake.
Kwanini hawakuumbwa wanaume tupu hapa duniani?