Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

Hapa unajua hata msitulaumu wanawake. Siku hizi mapenzi ya kweli hakuna wanawake wameshajua wanaume wengi siku hizi siyo waoaji wanapiga na kusepa kwahiyo nao wanahakikisha unapopiga na kusepa lazima ugharamikie.

Kumbuka mnapochezeana baadaye jamii itakuja mnyooshea kidole mwanamke kuwa yeye ndiye malaya na hafai kuolewa ila mwanaume aahh ataoa fresh tu kwahiyo kwa upande huo mwanamke anakuwa kapoteza. Sasa na yeye atajipoza wapi kama siyo kwenye pesa hiyo inaitwa "nipotezee muda nikupotezee pesa".

Huu mchezo bwana hauhitaji hasira

Tit for tat is a fair game
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ten hachangii.
Atakuja kila jioni na ndizi mbili za kulia ubwabwa [emoji23][emoji23][emoji23] na rimoti atashika kubadilisha channel [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Embu Ngoja nikalale
Nimecheka Hadi mbavu zinaniuma[emoji23][emoji23][emoji119]
 
Mwanaume asiyekupa hela na wewe humuombi amini kuna sehemu anapeleka.
Wanaume wanaona fahari sana tukitumia hela zao.
Hata hawaumii huwa wanaona fahari sana nyie tu hamjui.
[emoji3]
[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]
 
Nina swali kwako wewe mpenda pesa, Should a man stay in a relationship with a broke woman???
Hata mwanamke anaweza kukaa na broke man.
Provided mwanaume anajitambua na anatafuta.

Akiwa na ana buku inaonekana, akiwa na 20,000 inaonekana.
Huyu hata akiwa na dollar 20,000 pia itaonekana.

Ukimkuta mwanamke wako ni broke ni jukumu lako kama mwanaume kumuwezesha.
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Ten hachangii.
Atakuja kila jioni na ndizi mbili za kulia ubwabwa [emoji23][emoji23][emoji23] na rimoti atashika kubadilisha channel [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanaume wa aina hiyo ndiyo wale wanaojibiwa "kale ulikopeleka mboga"
 
Back
Top Bottom