Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Zeni wai du meni nidi iti ze mosti?iz seksi fo mani onli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zeni wai du meni nidi iti ze mosti?iz seksi fo mani onli?
Ujue nini A man or woman shouldn't obligate themselves at all to supporting someone in such a capacity if they aren't married..period. Or they're setting themselves up for failure, because there is no guarantee, no covenant in place that says once this person makes it, they're going to take u with them! No way! It may work out..possibly..or it may not. And the people that do this are doing some dangerous gambling, in my opinion. I've personally seen people in these type of relationships that paid out 1000's of dollar supporting someone and then once they made it they married someone else, while the other person is bitter and couldn't believe it.Ngoja nikuambie.
Mimi pia babe wangu alinikuta broke tena broke haswaaaa.
Choka mbayaaaaa.
Lakini hakuniacha na hajaniacha.
Na mimi simuachi na sitomuacha labda yeye aniache.
Mwanaume kamili huwezi kumkimbia mwanamke au kumkataa mwanamke sababu umemtongoza au ulimchunguza ukagundua ako broke ukaona hafai.
Kwanza mstudy, halafu jua kwa nini ako broke kama ametuliza kichwa kuwa nae na msaidie afikie ndoto zake kama haeleweki we muache tu. Utapata mwingine
Kiukweli mimi ninaandika toka moyoni mwangu bila huyu mtu sijui ningetokaje kama direction nilishapoteza.
Lakini hakujali chochote kanitoa point a kanipeleka point b.
Na bado hachoki kama mwanaume.
Nahisi hapa nimekujibuulivyouliza man can date broke woman.
YeahHaya mambo ya kusema ataenda kujibu kwa Mungu unajuaje labda atakuja kutubu kabla hajafa hivyo atasamehewa. Mimi kwa kweli kabla hajafika kwa Mungu lazima nimnyooshepo kidogo.
Yah hii mizinga yakitoto inabore mfano, vocha, hela ya pedi, chips, sijui kusuka and stuffs like that tunaona mnaweza kufight wenyewe mkavimanage endapo mkijishughulisha na biashara ndogo ndogo au kama umeajiriwa unaweza kuvimanage sema ndo hela yenu inakua ngumu but kwetu sisi nikama kero. Lakini inapokuja issue ya serious for instance mzazi wako kaugua let say kalazwa inahitajika hela ya matibabu hata kama ni million nitatoa kiroho safi au umeshindwa kulipa kodi nitatoa tuu coz nivitu reasonable. Sasa mtu umeshindwa kulipa vikoba elf 20 unaanza sms siku nzima dahSafi.
Mwanzo nilikuwa na mentality mbaya eti nikitaka kutoka kula raha au bill ya maziwa nasema.
Nikaona sijibiwi.
Lakini nikisema nataka hiki kikubwa napewa tena kiwango kikubwa tu.
Nilichogundua ni kitu kimoja mwanaume anapenda kutoa ili kuweka alama kwenye maisha yaani kukutoa point a kwenda point b.
Hakuna mwanaume mwenye akili timu anayeenjoy kwenda kwa mwanamke anayelipa kodi au amepanga anafenicha ana kila kitu atawale.
Hakuna.
Wanaume wote ni ni providers by nature.
Msiwaharibu jamani.
Katulia tuli mshtue kidogo na kitu achangamke.
which Country Didi??? 😀Oh sawa.. akhsante kwa kunizingua[emoji3526].
I can guess the country that you are.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani nimecheka Leo Jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo kashindikana
Sisemi Ila nilishajua uko wapiwhich Country Didi??? 😀
Njoo Pm, kabla sijaenda Lunch badaeSisemi Ila nilishajua uko wapi
Ooooo Haleluya.Yah hii mizinga yakitoto inabore mfano, vocha, hela ya pedi, chips, sijui kusuka and stuffs like that tunaona mnaweza kufight wenyewe mkavimanage endapo mkijishughulisha na biashara ndogo ndogo au kama umeajiriwa unaweza kuvimanage sema ndo hela yenu inakua ngumu but kwetu sisi nikama kero. Lakini inapokuja issue ya serious for instance mzazi wako kaugua let say kalazwa inahitajika hela ya matibabu hata kama ni million nitatoa kiroho safi au umeshindwa kulipa kodi nitatoa tuu coz nivitu reasonable. Sasa mtu umeshindwa kulipa vikoba elf 20 unaanza sms siku nzima dah
Siku hizi hakuna wanaume wanaopenda bhana tusidanganyaneMwanaume anampenda mpenzi wake ni yule anatamani kumuona akisimamia mwenyewe bana [emoji846] 😀
Unauza? 😳
Haaaaaa.Eti ndiyo "sitaki". Imagine mwanaume mzima anaandika hivyo.
Oohh very good. Very very good.Yeah
Kama akitubu ni sawa pia ila dhambi ina gharama..
Lazima aingie gharama.
Na kila Jambo hutokea kwa sababu...pengine amenisaliti ili kuniachia njia kwenda sehemu Bora Zaidi
Kwahiyo siwezi kulaumu.
Pia siwezi kuanza kuwaza mawazo hasi ya kusalitiwa mapema hivi.
Napenda kuvichukulia vitu katika mtazamo chanya.
Tupo wengi sana Mama tena sana tu.Siku hizi hakuna wanaume wanaopenda bhana tusidanganyane
Mzoee tu vituko vyake. She is a comedian.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani nimecheka Leo Jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]kwani mi mgodi nachimbwa tu
Tena huyu ucomedian amepunguza sasahivi...Mzoee tu vituko vyake. She is a comedian.
Watu wamepinda jamaniiiiiii nimecheka hatari.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Aiseee
Kwa vile umemuita Didi nimehisi uko India au umeshawahi kuishi kule! Basi ndiyo maana una mtazamo wa aina hiyo maana kule wanawake ndiyo huwa wanatoa mahari!which Country Didi??? 😀